Mnajitekenya na kucheka..Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
kwamba mropokaji ana pilipili gentleman?Dogo,
Pilipili usizokula zinakuwasha vipi?
Tulia dawa izame ndani.
No Reforms No Election ndo habari ya mjini, ndo mpango mzima

hizo kwa mropokaji heche ni mwiba mkali sana, lakini pia ni kama kituo cha polisi gentleman,Mnajitekenya na kucheka..
4R za Rais Samia
1.Maridhiano (Reconciliation), 2.Ustahamilivu (Resilience),
3.👉Mageuzi (Reforms)👈
4.Kujenga upya Taifa (Rebuilding)

Umekwisha,ukilambwa kalio unageuka jiwe na unajua jiwe aliko rightMaana ndio nini😀😀
Kwanini GDP ishuke kwa Kasi mpaka kupitwa na wasaka tonge Kenya na uganda tell us ASAP.bila uropokaji na kukiuka sheria![]()
epuka kulinganisha mababa wa taifa na mropokaji ambae pia ni addict wa kubeti gentleman, una kufuru![]()
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
labda uwanyooshe washirikina gentlemanHii nchi naitamani sana niwanyooshe kama ruler .
Makaa madarakani Miaka kumi tu ,then kila mtanzania angefungua A/C benki ya kuweka mgao wake unaotokana na rasilimali alizotupa Mungu .
Ila mafisadi ningewapiga risasi adharani au kuwafilisi popote walipoficha pesa na kuzirejesha kwa umma .
Namuona Heche ni Mtu sahihi sana kuiongoza nchi hii . Na jeshi lingefaa liwe karibu na kumlinda Heche maana Wale wengine wameshakua ni walinzi wa mafisadi
