Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?

Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?

Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Tunakushukuru sana wewe kwa kuweza kuyasambaza na kuijuza jamii.
 
Huna hoja
Gentleman,
hebu weka hiyo hoja yako bora na mbadala zaidi ya iliyoko mezani bila mihemko wala uropokaji kwa faida na heshima ya wadau wa JF wote na itapendeza zaid :pedroP:
 
Tunakushukuru sana wewe kwa kuweza kuyasambaza na kuijuza jamii.
Yes,
wadau wa siasa wangependa kujua kwani heche kapuuzwa kiasi hicho?
au wamebaini kwamaba huenda uropokaji wake uanatokana na mentla health issues? :NoGodNo:
 
Wana CHADEMA hawataki hata kumsikia maana wanajuta sana na kujisikia aibu kubwa sana kuwa na kiongozi aina yake asiye jitambua.
huenda wanachadema wameanza kubaini kua kiongozi huyo ana changamoto za kisaikolojia..
 
Mkuu naona unamaumivu makubwa kwa ndani ila ukweli ndo huo.
Yes,
sijapenda wanachadema wanavyowapuuza viongozi wao hadharani mchana kweupe namn hii,
walipuuza no reform no elections ya lisu na sasa wanapuuza maelezo ya heche, dah! nia fedheha sana sijapenda?,

kwa maoni yako unadhani ni kwanini hali hiyo imetokea? :NoGodNo:
 
Huo ni mtazamo wako, wanachadema tupo fresh kabisa na tunamuelewa kiongozi wetu, wewe huelewi kwasababu hayakuhusu
gentleman,
huu ni mtazamo wa wanachadema walio wengi gentleman,
In fact,
binafsi nimesikiliza uropokaji wake wote na kubaini kwamba anastahili kupuuzwa tu, kwasababu hakuna cha maana.

kwani wewe gentleman,
umeona kuna cha maana amezungumza heche? mbona hazungumzwi mitandaoni?:NoGodNo:
 
Wamempuuzi kuhusu nn mkuu? Heche kusimamia msimamo wa chama na sio vinginevyo
kuhusu uropokaji wake wote kwenye press confrence ya leo,

au wewe gentleman,
uliona kuna point ya maana hata moja pale kwa faida na heshima ya wadau wa JF?:NoGodNo:
 
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?

Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?

Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania


Heche ni Kama Nyerere, KARUME na Magufuli .

Tumaweza kumlinganisha na Traore.
Heche ni kwa mustakabali mwema wa Taifa hili .
 
Wazee wa fujo hao. Mbambamba nyiiiiiingi. Waambie wakuonyeshe action plan uone ... Wanaanza kutukana.

Ukiwaambia wakaonyeshe actual actions ndo kabisa wanasema hawahusiki.....
maskini ya Mungu,
gentleman, mtu kama heche, atajulia wapi mambo ya action and actual plans ? si atahisi una mtukana na mjikute mnapigana ngumi?:NoGodNo:
 
Nimependa jinso heche alivyoyajibu maswali ya waandishi wa habari....
unaweza kua sahihi gentleman,
but vipi kuhusu contents za press conference?

kulikua na cha maana hata kimoja kweli?:NoGodNo:
 
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?

Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?

Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
inaonekana wewe jamaa unashinda CCM unalala CDM
 
Labda wewe ndo umeyapuuza, heche kaeleza vizuri sana, no reform no election
tuwe wa kweli no reform no elections ya lisu imepuuzwa na its no more kwa sasa,

but point ya msingi ni kwamba why maelezo na maelekezo ya heche yamepuuzwa kabisa tena zaidi hata ya no reform no elections ya lisu ambayo huenda anaeimba umebaki wewe tu?:NoGodNo:
 
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?

Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?

Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Dogo,
Pilipili usizokula zinakuwasha vipi?
Tulia dawa izame ndani.

No Reforms No Election ndo habari ya mjini, ndo mpango mzima
 
Hayajapuuzwa Bali yameenea Dunia nzima na Dunia imemuonya anayeminya uhuru wa vyama vya siasa.Nilikuwa nasikiliza BBC mida ya saa saba watangazaji walihitimisha kuwa suala Hilo litatua Kwa trump ili huyu anayechezea uhuru wa watanzania apigwe marufuku kwenda huko maana anapenda sana kwenda huko
kwamba kwenda marekani ni lazima right? pamoja na matatizo yao yote?:pedroP:

gentleman kwamba trump aache shida zake amskize mropokaji heche?:pedroP:
 
Back
Top Bottom