Tunakushukuru sana wewe kwa kuweza kuyasambaza na kuijuza jamii.Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
Huna hojagentleman,
ni muhimu sana tukajikita kwanza kujua kiini hasa cha wananchadema kumpuuza heche na maelezo yake, mengine tutajadili baadae
Hao watakuwa wanachadema wa Lumumba....Wana CHADEMA hawataki hata kumsikia maana wanajuta sana na kujisikia aibu kubwa sana kuwa na kiongozi aina yake asiye jitambua.
Yes,Mkuu naona unamaumivu makubwa kwa ndani ila ukweli ndo huo.
gentleman,Huo ni mtazamo wako, wanachadema tupo fresh kabisa na tunamuelewa kiongozi wetu, wewe huelewi kwasababu hayakuhusu
kuhusu uropokaji wake wote kwenye press confrence ya leo,Wamempuuzi kuhusu nn mkuu? Heche kusimamia msimamo wa chama na sio vinginevyo
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
maskini ya Mungu,Wazee wa fujo hao. Mbambamba nyiiiiiingi. Waambie wakuonyeshe action plan uone ... Wanaanza kutukana.
Ukiwaambia wakaonyeshe actual actions ndo kabisa wanasema hawahusiki.....
inaonekana wewe jamaa unashinda CCM unalala CDMNi kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
tuwe wa kweli no reform no elections ya lisu imepuuzwa na its no more kwa sasa,Labda wewe ndo umeyapuuza, heche kaeleza vizuri sana, no reform no election
Dogo,Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
kwamba kwenda marekani ni lazima right? pamoja na matatizo yao yote?Hayajapuuzwa Bali yameenea Dunia nzima na Dunia imemuonya anayeminya uhuru wa vyama vya siasa.Nilikuwa nasikiliza BBC mida ya saa saba watangazaji walihitimisha kuwa suala Hilo litatua Kwa trump ili huyu anayechezea uhuru wa watanzania apigwe marufuku kwenda huko maana anapenda sana kwenda huko