Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

Heche ni Kama Nyerere, KARUME na Magufuli .

Tumaweza kumlinganisha na Traore.
Heche ni kwa mustakabali mwema wa Taifa hili .
epuka kulinganisha mababa wa taifa na mropokaji ambae pia ni addict wa kubeti gentleman, una kufuru
 
Mnajitekenya na kucheka..

4R za Rais Samia

1.Maridhiano (Reconciliation), 2.Ustahamilivu (Resilience),
3.👉Mageuzi (Reforms)👈
4.Kujenga upya Taifa (Rebuilding)
 
Dogo,
Pilipili usizokula zinakuwasha vipi?
Tulia dawa izame ndani.

No Reforms No Election ndo habari ya mjini, ndo mpango mzima
kwamba mropokaji ana pilipili gentleman?
aliziweka wapi mpaka wanachadema wanampuuza kiasia hiki? si angewamwagia wawashwe kama upupu
 
Mnajitekenya na kucheka..

4R za Rais Samia

1.Maridhiano
(Reconciliation), 2.Ustahamilivu (Resilience),
3.👉Mageuzi (Reforms)👈
4.Kujenga upya Taifa (Rebuilding)
hizo kwa mropokaji heche ni mwiba mkali sana, lakini pia ni kama kituo cha polisi gentleman,

kasongo hataki maridhiano, hataki rebuilding hataki resillience, hataki reforms wala uchaguzi, anataka fujo, vurugu na uharibifu tu
 
epuka kulinganisha mababa wa taifa na mropokaji ambae pia ni addict wa kubeti gentleman, una kufuru

Hii nchi naitamani sana niwanyooshe kama ruler .
Makaa madarakani Miaka kumi tu ,then kila mtanzania angefungua A/C benki ya kuweka mgao wake unaotokana na rasilimali alizotupa Mungu .
Ila mafisadi ningewapiga risasi adharani au kuwafilisi popote walipoficha pesa na kuzirejesha kwa umma .

Namuona Heche ni Mtu sahihi sana kuiongoza nchi hii . Na jeshi lingefaa liwe karibu na kumlinda Heche maana Wale wengine wameshakua ni walinzi wa mafisadi
 


No reform no elections
 
Mbona mmekua wasemaji wa chadema ghafla😂😂
 
Umeanzisha Uzi wa kijinga na unakuja ku comment mwenyewe kijinga ukiungwa mkono na wajinga wenzieo wachache sana
 
No reform no elections
yes,
you are right gentleman,
huenda hiyo kitu ya no reform no elections imewaghadhabisha sana, na wameamua sasa kuipuuza chadema na viongozi wake kabisa
 
Mbona mmekua wasemaji wa chadema ghafla😂😂
watafiti waandamizi katika siasa ,
kuna mambo mengi sana muhimu tunahitaji kuyafahamu kutoka kwenu wadau na wananchadema kwa ujumla gentleman
 
Umeanzisha Uzi wa kijinga na unakuja ku comment mwenyewe kijinga ukiungwa mkono na wajinga wenzieo wachache sana
changia bila mihemko wala makasiriko gentleman
 
labda uwanyooshe washirikina gentleman
 
Tusitegemee kuwa na challenging mind zenye kufanya Mapinduzi ya kimaendeleo ikiwa mawazo ya watu wenye nguvu ya kuzungumzia vitu Kama Mwendokasi kugombewa au huko mchuchuma na liganga wanazungumzia vitu vya kufikirika yaani dhahania... Unadhani ni kwanini blahblah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…