Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

labda uwanyooshe washirikina gentleman


Hao hao maana watawala wengi tunaowaona Kwamsisi wakizindikwa majini. Hasa wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi ili wapate uteuzi .

Hivi unadhani watawala ni watu wema bila kuwadhibiti.
Watawala wananunua Landicruser hata elfu mbili zenye thamani ya kununua Ambulace elfu 50 nchi nzima. au kununua Dialisiss machine mia mia tatu .Wanaacha watu wafe kwa kukosa huduma ya matibabu ya figo wakati wao wakikosa ufahari hawafai. Wanabadilisha starehe zao na uhai wa wananchi halafu uchaguzi ukifika wanawaambia kwa dharau hata mkipiga kura kule kwingine atakayetangazwa ni mgombea wa CCM. Huu ndio uhamasishaji wa uhaini na uasi dhidi ya mshindi halali wa urais
 
kwahiyo watawala sio watu wema right gentleman?

na kama ni hivyo,
unapata wapi ujasiri wa kujaribu kudhoofisha utawala uliopo na kuingiza utawala mwingine ikiwa watawala si watu wema?

uko fiti kalikiti kweli gentleman mentally?πŸ’
 
Umepumaje kua ynedharauliwa? Watu waache kuchoshwa na sisiemu kwa miaka 64
 
watafiti waandamizi katika siasa ,
kuna mambo mengi sana muhimu tunahitaji kuyafahamu kutoka kwenu wadau na wananchadema kwa ujumla gentleman
What is going on,more especially in economics slow down and growth πŸ“ˆ target turmoil,where is pompous behavior on economy
 
What is going on,more especially in economics slow down and growth πŸ“ˆ target turmoil,where is pompous behavior on economy
Gentleman,
you can organize a special article so that we can enguage on it arcondingly, without affecting ongoing motion on table πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…