Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Gentleman,
mbona unaeleza ukweli mtupu na umelenga kwenye mshono kabisa?

thank you very true comment πŸ’ͺπŸ‘Š
 
TAKATAKA
 
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma
Wewe chawa acha uongo wa kitoto...
 
umeweka picha zilezile za mwaka juzi gentleman au umeweka nyingine tofauti kuhadaa wadau wa JF?πŸ’
 
Cha ajabu Hata hao waliotoka Wanaomba Maridhiano na CHADEMA πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Yaaani wakiwa Hadharani Wanaiponda sana Ila Wanawafata Viongozi kuomba Maridhiano
makundi mengine yatajitokeza lini sasa walau kutangaza kuiunga mkono chadema inayopukutika kwa kasi sana gentleman?πŸ’
 
makundi mengine yatajitokeza lini sasa walau kutangaza kuiunga mkono chadema inayopukutika kwa kasi sana gentleman?πŸ’
Ila wale wanaotoka Sasa wanaomba Maridhiano maana Yake wanaondoka si kwa kutaka Ila wanataka Matakwa yao ya Uongozi yakubaliwe na Ukiangalia Wote wanao ondoka Ni Tela FAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…