Unaongelea makundi gani wewe boya?Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwani hayo makundi yasiyounga mkono ni yapi?Gentleman,
mbona unapotosha wadau kwa makusudi?
hayo makundi mengi yanayosumbuliwa ni kama vile kundi gani hilo walau wadau wa JF wajiridhishe?π
Unatakiwa ujibu kwa hoja sio unajibu kwq kumkashifu mtuKwani hayo makundi yasiyounga mkono ni yapi?
Ukiwa chawa unakuwa boya sana
Mvuto na ushawishi wa chadema umepungua koz hakn mipang na mikakt yyt zaid ya kugombana wenywe kw wenywe
Na misaada yao muiacheWaziri wa CCM kuacha mkewe na kuishi kinyumba na mwanaume mwenzake ni sawa? Serikali ya hovyo kabisa hii
View attachment 3329955
Kwa hili andiko hata anaekupa ile buku saba hawezi kutoa leoSote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
niliwahi kutoa angalizo mapema mwaka jana kwamba kampeni za uuenyekiti wa chadema taifa hazitauacha uongozi mpya wa chadema salama whether Lisu au hata Mbowe angeshida uchaguzi huo.Ila wale wanaotoka Sasa wanaomba Maridhiano maana Yake wanaondoka si kwa kutaka Ila wanataka Matakwa yao ya Uongozi yakubaliwe na Ukiangalia Wote wanao ondoka Ni Tela FAM
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
WEKA PICHA MKUU .Sote ni mashahidi kwamba

huna haja ya kuropoka ikiwa huna hoja gentleman
WEKA NA PICHA KABISA. KAZANA USIPO KUWA MBUNGE NA WAZIRI VHATA UKUU WA WILAYA UTAPATASote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
Ni kwa sababu CCM mnapendwa sana.Sote ni mashahidi kwamba

Sasa kwa nini mlitaka kumuuwa Father KItima na LissuSote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
Huu mwaka mtachanganyikiwa na akili Mnembe zenu CDM iko on fire iko katika ubora wa hali ya juu wananchi wamerudishiwa chama chaoSote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi mbalimbali ya kijamii kama vile wenye mihemko, vibaka waporomosha mitusi, matapeli pesa wa kisiasa, waropokaji waliopoteza uelekeo na agenda n.k, ni lini watajitokeza walau kuishauri chadema au kuzuia na kushawishi wanachama zaidi wa chadema wasijiengue kwenye chama chao kinachoyumba na kujiunga kwenye vyama vingine vya siasa nchini?
Maana anae piga mayowe na bwekabweka kwasasa amebaki heche pekeyake hadi huruma π
Mungu Ibariki Tanzania
Umeona serikali ilichojibu kuhusu animio la bunge la ulayakaa kimya ikiwa huana hoja gentleman, usisumbue wadau wa JF kwa