Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema


Sasa jitahada zote za kutotaka uchaguzi wa haki za nini?

Au Kwa kumbe kulikoni kuwateka wengine na kuwabambikizia washindani kesi?
 

Mjinga jinga unamuongelea Heche hao walioenda kumwangalia na kusema no election no reform huko Chato wamelipwa na ku beti
 
Sasa jitahada zote za kutotaka uchaguzi wa haki za nini?

Au Kwa kumbe kulikoni kuwateka wengine na kuwabambikizia washindani kesi?
Gentleman,
uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi uko pale pale october mwaka huu2025, upende usipende.

ukifumaniwa na mkwe wa mtu na kutembezewa kichapo cha mbwa koko, hata ukipiga mayowe ati umetekwa haita saidia chochote, hiyo ni nonsense
 
Rubbish 🚮
 
Mzee wa propaganda 🥶
 
No Reforms ipo Kagera kijana, jifanye taahira.
 
Huu mwaka mtachanganyikiwa na akili Mnembe zenu CDM iko on fire iko katika ubora wa hali ya juu wananchi wamerudishiwa chama chao
CDM inawaka moto ndani kwa ndani au sio gentleman, wanachadema wanatoka nduki tu huku ikiimarika zaidi
 
Chuki,Matusi,Dhihaka na Ubaguzi miongonimwao
 



Kwa hiyo ninyi ndiyo mnaomdanganya kuwa yuko vizuri?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…