Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

Qmmmko
 
Wanachadema au wafuasi wa mwenyekiti aliepita? Sio maneno yangu ni maneno yao wenyewe
Gentleman,
kwahiyo kumbe chadema ina undwa na wafuasi wa mwenyekiti wa sasa na wafuasi wa mwenyekiti aliepita right?
 
HAWATAKI KUMDUDE NYANGALIWA WALA KUPADREWA KITIMA.ILI WASIMABWEPANDEWE.
 
Kuuza Bandari na Mbuga kwa waarabu ndo unahesabu kua ni maendeleo?
 
Chadema inakunyima sana Usingizi kwa sasa ndugu, Pambana sana kuandika, Watanzania wamechoka na blaa blaa za CCM, Yaan nyie mnaona uhai wa mtu mwingine ni sawa na kukanyaga sisimizi, vip angekua ni ndugu yako, baba yako, mama yako, mtoto wako au mtu wako wa karibu kapotezwa tu kirahisi rahisi namna hii ungekuja hapa kuongea hayo? Au kwa sababu hujaguswa unaona ni sawa tu, Uchawa bhana
 
Shida inayotutafuna ni kutojielewa na kujitambua.

Tupo kwenye ukoloni mamboleo

Tupo kwenye utumwa wa kisultani

Tumeuza rasilimali zote

Nchi inamilikiwa na wageni wa kisultani

Watoto wenu na wajukuu zenu watakuwa watu wa ndani ya nchi ya mababu zao

Watu wa bara hawajatambua adui ni nani
Kuna kisasi kinalipizwa bila watu wa bara kung’amua hiki kitebdawili.

Wanaojiengua hawana uchungu na ardhi yao
Wa visiwa wametulia…. Jiulizeni kwa nini

Tunagombana wenyewe kwa wenyewe…

Chadema ya sasa ndiyo itakayomtoa mtu wa bara kwenye ukoloni mamboleo

Nchi hii ni ya waafrika watu weusi sio vinginevyo.

Tumtambue adui yetu tusiumizane tusiuzane kwa mkoloni sułtani tuikomboe nchi yetu kutoka kwa mkoloni sultani

Tukiyatambua haya tutakuwa salama.
 
Timu mbowe kwa siku wanaanzisha sredi 1000 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Santino huna chako tushakujua- Abdul
Utashangaa
 
Kuuza Bandari na Mbuga kwa waarabu ndo unahesabu kua ni maendeleo?
Si unajiziba macho na maskio, barabara ya bagamoyo hujaiona sio? Nenda kijijin kwenu kama hakuna mradi hata mmoja wa zahanati au shule, tatzo leo nyny huku mikoan hamutembei yaan ruti zenu ni mbande kariakoo basi, njo hapa mzinga uone watu walivyopisha utanuzi wa barabara mpya inayotaka kujengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…