Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

Heche na TAL washasema hakuna kupiga magoti kwa Samuya na sirikali yake....Mmemtuma Kombo kuja kuwatisha kina Heche ili wapige magoti ,kesi itaunguruma hadi mwisho ,streets is watching.
wampigie Mungu mwenyezi awaepushe na mikosi na laana zinazowakabili gentleman na itapendeza zaidi 🐒 ili
 
Hivi kwa nini wewe mtu inakuwa na matusi kwa wenye maoni tofauti na wewe? Maana Kila anayechangia mawazo tofauti na Yako unamjibu na kumuwekea emoji ya kima mwishoni. Ni jeuri ya kuwa karibu na wenye mamlaka au?

Ukweli pia ni kwamba hujawahi kuonesha hata dalili kuwa una akili Wala upeo, achilia mbali ubinadamu. Mawazo yote tofauti na Yako Huwa unayaona ni nonsense na yanatoka kwa kima.

Humu walikuwemo akina Lizaboni na sasa hawapo tena. Respect watu aisee
ndugu muerevu,

mtu mwenye akili timamu,
hutoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani au komenti tofauti za wadau wengine wa Jf.

sasa ukija kumbwelambwela jukwaani na kujipiga kifua kama kwamba unaakili zaidi hali ya kua unaonyesha mihemko na makasiriko tu huku ukiwa pointless, inakua ni kitu nonsense sana jukwaani.

eleza tu,
kulikoni mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa mapema kiasi hicho, na hajitetei tena bali anaaga ndugu, jamaa na marafiki?🐒
 
Nikushauri Acha Uchawa mshahara wa buku7 pale lumumba wakati kesho ya kizazi chako unakiharibu ni Mauti hayo
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka na vitu useless jukwaani gentleman na itapendeza.

usikate tamaa hata kama huna point 🐒
 
Kumbe hukumu mnayo mfukoni,haya mnyongeni,Damu yake na iwe juu yenu!
huenda mtuhumiwa ndio anayo gentleman,
kulikoni aanze kuage ndugu, jamaa na marafiki zake na wafaddhili wake kitaifa na kimataifa?🐒
 
***** wewe mtu mzima hovyo Utakufa mdomo wazi na uzandiki wenu
calm down plz gentleman,
kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida

hongera sana ndugu mdau ambae hutakufa.

but kivipi mtuhumiwa amekata tamaa mapema kiasi hicho aise?
Na kwanini anaaga ndugu, jamaa na marafiki zake?🐒
 
Je,
ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa?

Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia,
anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na kimataifa, pamoja na wadau wengine ambao anaona ni muhimu kuwaaga, kwakua tayari ni kama vile amesense hitimisho la kesi anayopaswa kujibu ukilinganisha na utetezi alionao.

Kama mdau wa jukwaa hili la siasa,
Unadhani atabadilika mbeleni, kwasababu tangu mwanzo wa kesi anatumia muda mwingi kueleza mambo yasiyohusu kesi yenyewe ila anajitahidi tu kuonyesha majaji kwamba anajua na amesoma baadhi ya vitabu au anawajua watu fulani mashuhuri duniani na mambo mengine kama hayo ambayo sidhani kama yana msaada kwa kinachomkabili.

unadhani ni kipi hasa kimemkatisha tamaa kiasi kile ? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Huoni ameanza kuivua mamlaka nguo taratibu ? Ww huoni ameanza na utetez wa good character na akaendelea kupiga Kwa mbali kuonyesha matatzo ya serikal kuanzia ya Mkapa? Na zote hizo anapiga kichwani tuu??? Ww hukuona katuga akiomba poo Kwa kusema mtuhumiwa asiseme mambo ambayo hayapo mbele ya mahakama maana anavua nguo serikal yetu?
 
Gentleman,
kwahiyo ndio anajitetea hivyo kwamba hakukusudia kukinukisha wala kuzuia uchaguzi na kufanya uasi right? :pedroP:
 
calm down plz gentleman,
kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida

hongera sana ndugu mdau ambae hutakufa.

but kivipi mtuhumiwa amekata tamaa mapema kiasi hicho aise?
Na kwanini anaaga ndugu, jamaa na marafiki zake?🐒
Kristo unamsingizia,ya Kaisari mpe Kaisari,ya Mungu mpe Mungu!
 
Kristo unamsingizia,ya Kaisari mpe Kaisari,ya Mungu mpe Mungu!
ila jamaa kiukweli kawa mnyonge mno na hana matumaini kabisa.

anaisingizia hadi Mbowe wakati makosa kafanya yeye binafsi na kwa utashi wake?🐒
 
ila jamaa kiukweli kawa mnyonge mno na hana matumaini kabisa.

anaisingizia hadi Mbowe wakati makosa kafanya yeye binafsi na kwa utashi wake?🐒
Sioni kosa alilofanya hata nusu kijiko ni nyie tuu na roho zenu mbaya,mwamba huyu na mdemokrasi halisi,hapindishi maneno ili kumfurahisha mtu,kikombe kiitwe kikombe,kisu kiitwe kisu,Dunia yote imenyamaza kimyaa ikisuburi muaniko wa hii serikali ya mboga mboga!
 
siku atakapohukumiwa utaona tu gentleman. Si unajua tena kenge mpaka atoke damu ndio ajue hapa napigwa serious?🐒
 
unapenda sana kumjadili lisu ila lisu Ni aina ya mtu ambae huna hata hadhi ya kumjadili lisu ni jeshi sijui kwann watu wenye uchungu na taifa wamekuwa wakiteswa huku wasio na uchungu na rasilimali zetu wakijinufaisha cha kushangaza zaidi ni masikini na fukara wa fikra kama huyu mtoa post anafurahia.
 
jikite tu moja kwa moja bila kutia huruma gentleman na itapendeza zaidi.

acha porojo na unyonge 🐒
 
Kabla hujajuta au kuaibika mbeleni, tafakari unayotaka kutamka.
gentleman,
yaani kwamba mtu visionary kama mimi nibabaike na porojo au ramli kama hizo, surely?🐒
 
ila jamaa kiukweli kawa mnyonge mno na hana matumaini kabisa.

anaisingizia hadi Mbowe wakati makosa kafanya yeye binafsi na kwa utashi wake?🐒

gentleman,
yaani kwamba mtu visionary kama mimi nibabaike na porojo au ramli kama hizo, surely?🐒
Kabla hujajuta au kuaibika mbeleni tafakari unayotaka kutamka.

Wapi Polepole,, wapi Musiba.
 
Back
Top Bottom