Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

Mwanaume anajenga hoja wewe unakata miuno na huyo ajuza wenu mwenye elimu ya Pakistan ya hapa na pale
punguza mihemko useless jukwaani gentleman jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.

kaa kimya tu ikiwa uko pointless 🐒
 
Kabla hujajuta au kuaibika mbeleni tafakari unayotaka kutamka.

Wapi Polepole,, wapi Musiba.
gentleman,
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila kujaribu kupindisha mjadala kwa porojo useless kama hizo.

huna point, kaa kimya tu na itapendeza zaidi 🐒
 
Wewe ndio ukae kimya kwasababu asilimia kubwa hapa wanakuona wewe ni kichaa
sasa na wewe muerevu si ukae kimya mbona una weweseka na kumbwelambwela tu jukwaani huku ukiwa pointless dhidi ya hoja mahususi mezani?🐒
 
Je,
ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa?

Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia,
anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na kimataifa, pamoja na wadau wengine ambao anaona ni muhimu kuwaaga, kwakua tayari ni kama vile amesense hitimisho la kesi anayopaswa kujibu ukilinganisha na utetezi alionao.

Kama mdau wa jukwaa hili la siasa,
Unadhani atabadilika mbeleni, kwasababu tangu mwanzo wa kesi anatumia muda mwingi kueleza mambo yasiyohusu kesi yenyewe ila anajitahidi tu kuonyesha majaji kwamba anajua na amesoma baadhi ya vitabu au anawajua watu fulani mashuhuri duniani na mambo mengine kama hayo ambayo sidhani kama yana msaada kwa kinachomkabili.

unadhani ni kipi hasa kimemkatisha tamaa kiasi kile ? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
We endelea kujitoa akili.
 
sijaelewa, but he is still human, na binadamu yoyote under stress will break ...
 
Wapi anakata tamaa wakati anazidi kukaza? Ngoma inogile mjuba, anawataka wale mashahidi vigogo wakubwa waje mahakamani kutoa ushahidi
 
gentleman,
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila kujaribu kupindisha mjadala kwa porojo useless kama hizo.

huna point, kaa kimya tu na itapendeza zaidi 🐒
Kabla hujajuta au kuaibika mbeleni tafakari unayotaka kutamka.
 
sheria na katiba ya nchi vipo tangu uhuru gentleman,
sio suala la kufurahi au kuhuzunika sheria inapochukua mkondo wake.

it's very simple like that,

but hiyo si muhimu,
kulikoni muungwana amekata tamaa mapema hivyo?🐒
Mwenyewe ameshasema ni vita ya kisiasa sio uhaini.
Kwa hyo HAPO INAYOFANYA KAZI SIO SHERIA NI MWENYEKITI WA CCM
 
Back
Top Bottom