Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

Je,
ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa?

Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia,
anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na kimataifa, pamoja na wadau wengine ambao anaona ni muhimu kuwaaga, kwakua tayari ni kama vile amesense hitimisho la kesi anayopaswa kujibu ukilinganisha na utetezi alionao.

Kama mdau wa jukwaa hili la siasa,
Unadhani atabadilika mbeleni, kwasababu tangu mwanzo wa kesi anatumia muda mwingi kueleza mambo yasiyohusu kesi yenyewe ila anajitahidi tu kuonyesha majaji kwamba anajua na amesoma baadhi ya vitabu au anawajua watu fulani mashuhuri duniani na mambo mengine kama hayo ambayo sidhani kama yana msaada kwa kinachomkabili.

unadhani ni kipi hasa kimemkatisha tamaa kiasi kile ? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Tamaa kivipi tena. Mtu anatamani hukumu itolewe anyongwe wewe unaleta porojo. Au unataka anyongwe akiwa anafanya uchawa kama wewe. By the way kwa wanamapinduzi hukumu ya kifo au ya aina yoyote siyo hukumu ya juu kabisa na ya kuogopa. Watu wanaogopa kuishi ukiwa unanyenyekea wanaoharibu nchi tu. Kifo kwa wewe ni kama unakufa kila siku kwenye kusifia sifia mauaji na utekaji wa ndugu zako
 
Back
Top Bottom