Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je, kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je,
kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Lissu ni mhuni. Anaombaje michango kwa watu wakati hajawaambia michango iliyopita aliifanyia nini maana hata gari hajanunua! Nawashauri wenye akili wasichange!!!!!!!!
 
Vita kubwa ya CCM iwe ni kupambana na rushwa na kupeleka maendeleo yanayohitajika na wananchi kwa wananchi, sio kujibizana na vyama pinzani
 
kuna vita gani hapo gentleman,
hali ya kua wadau wachangiaji pesa kwaajili ya matumizi ya kuendeshea chadema wanataka kujua michango ya mwaka jana ilihitajika kiasi gani na zilipatikana shilingi ngapi na gari mpya iko wap?

na sasa hivi wanataka kujua inahitajika kiasi gani na tayari ngapi zimechangwa?

hiyo ni vita au kuweweseka gentleman?

mbona weo?🐒
 
Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia chadema pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?
Wewe kibaraka wa mafisadi wa kijani unateseka sana na Chadema kwa kuanzisha nyuzi za umbea, uongo na udaku kila uchwao!
Huna kazi ya maana ya kufanya?!!
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je,
kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Ulichokiandika kina beba uwezo wa akili yako...huko kusuasua umejuaje umeshachungulia Account yao? Mna akili kama ya Kasongo Wasira kila mara Lisu ama Chadema. Muda mwingine puuza ujinga uliojaa kichwani mwako.
 
mbona weo gentleman?🦏

umechangia au mihemko tu?🐒
 
Wewe kibaraka wa mafisadi wa kijani unateseka sana na Chadema kwa kuanzisha nyuzi za umbea, uongo na udaku kila uchwao!
Huna kazi ya maana ya kufanya?!!
mbona weo sana ndugu zangu 🦏🤣

umechangia kwanza au ghadhabu tu za kinyumbu?🐒
 
Lissu ni mhuni. Anaombaje michango kwa watu wakati hajawaambia michango iliyopita aliifanyia nini maana hata gari hajanunua! Nawashauri wenye akili wasichange!!!!!!!!

kuna vita gani hapo gentleman,
hali ya kua wadau wachangiaji pesa kwaajili ya matumizi ya kuendeshea chadema wanataka kujua michango ya mwaka jana ilihitajika kiasi gani na zilipatikana shilingi ngapi na gari mpya iko wap?

na sasa hivi wanataka kujua inahitajika kiasi gani na tayari ngapi zimechangwa?

hiyo ni vita au kuweweseka gentleman?

mbona weo?🐒
Kuna kuna vituo vya afya vina hudumia zaidi ya watu laki tano lakini ha ina hata X-ray mashine ,ila pesa za kutoa rushwa na kugawa rushwa mnazipata halafu bado tuwaqmini kwamba mpo kwa ajili ya wananchi.
 
mbona weo gentleman?🦏

umechangia au mihemko tu?🐒
Hili swali ulipaswa kujiuliza wewe, umeshaamka usiku wa manane na ukaanza soma haya matakataka yako unayoandika hakika utajuta kwanini hauna akili kiasi kikubwa. Mfano...wewe na Lisu nani mwenye akili?
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je,
kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Umenikumbusha! Nilishasahau, ngoja nikawatumie,kinachonifanya niwatumie ni hoja yao ya kuhitaji tume huru ya uchaguzi,hii hoja yao imenigusa hata mimi nisiye na chama,huwa naumia sana kipindi cha uchaguzi watu wanapo uliwa na kuteswa kwa sababu ya uroho wa madaraka.natamani kuona aliyeshinda anatangazwa ili kuepusha umwagaji damu.
 
Dogo,
Hakuna ghadhabu hapa.
Usipobadilika utatafutiwa Dera chap
changieni basi mbona weo nyingi sana Tatizo ni nini kwani?

mchango wa gari mwaka jana ilitakiwa kiasi gani na zilipatikana ngapi na hiyo gari iko wap kamanda unaefanya mazoezi ya kuporomosha matusi? 🐒
 
Umenikumbusha! Nilishasahau, ngoja nikawatumie,kinachonifanya niwatumie ni hoja yao ya kuhitaji tume huru ya uchaguzi,hii hoja yao imenigusa hata mimi nisiye na chama,huwa naumia sana kipindi cha uchaguzi watu wanapo uliwa na kuteswa kwa sababu ya uroho wa madaraka.natamani kuona aliyeshinda anatangazwa ili kuepusha umwagaji damu.
kwahiyo kutapeliwa pesa na kibaka wa siasa hapakuumizi kabisa popote gentleman? dah!

basi wewe mvumilivi sana aise kamanda 🐒
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je,
kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Sio kweli mkuu watu tunachanga Kwa Kasi sana
 
ikihitajika kiasi gani na tayari kiasi gani kimepatikana mpaka sasa kwa kasi sana?

hivi mwaka jana ikihitajika kiasi gani kwajili ya gari na kilipatikana kiasi gani?
Na je gari ilinunulia au pesa iliishia kwenye spirit drinks na nyama tu?

pole kwa maswali usiyostahili kujibu gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom