Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

Gentleman,
umechangia kwanza au ndio wale mnaokwepakwepa kuangalia upepo 🐒
Mkuu, mimi ni mtu nipendaye kuweka haya mambo katika mizania sawa kwamba, "toa BORITI kwenye jicho lako kabla ya kibazi kilichopo kwenye jicho la mwenzio". Aidha, Watanzania, Wanapenda kuona UCHAGUZI MKUU WA NCHI, ukiendeshwa kama ule wa Chama Kikuu cha Upinzani.
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je, kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Ka mdomo katakuponza
 
Tangu lini ukawa mhasibu wa Chadema mwehu wewe!
 
kuna vita gani hapo gentleman,
hali ya kua wadau wachangiaji pesa kwaajili ya matumizi ya kuendeshea chadema wanataka kujua michango ya mwaka jana ilihitajika kiasi gani na zilipatikana shilingi ngapi na gari mpya iko wap?

na sasa hivi wanataka kujua inahitajika kiasi gani na tayari ngapi zimechangwa?

hiyo ni vita au kuweweseka ggen
mbona weo?🐒
Cha kufurahisha vijana CCM ndo mnamnadi lisu, Mbowe mmemsahau tena
 
Yes,
kuomba omba kuchangiwa pesa ni jambo la fedheha na aibu sana lazma umma utahadharishwe,

utapeli ni mwingi hasa chadema 🐒
 
Kuna kuna vituo vya afya vina hudumia zaidi ya watu laki tano lakini ha ina hata X-ray mashine ,ila pesa za kutoa rushwa na kugawa rushwa mnazipata halafu bado tuwaqmini kwamba mpo kwa ajili ya wananchi.
CCM ndio chama pekee kwa ajili ya matumaini na maendeleo ya Watanzania. Chama leo kinaomba michango eti ili kikiingia madarakani kiwaletee maendeleo! Ahahahahaha!! Uliishaiona wapi hii?
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je, kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Atawewe changi acha unaa.
 
Tumechanga na tutaendelea kuchangia mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa taifa letu
 
sio kuchanga,
mmetapeliwa na mtaendelea kutapeliwa na kibaka wa siasa kama mazuzu vile kwa mustakabali wa kua maskini zaidi wa vipato vyenu :pedroP:
 
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?

Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?

Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?

Je, kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?

Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒

Mungu Ibarki Tanzania

Je unajua kuanzia wiki iliyopita wamechangisha kiasi gani?

Machawa . Si ulisema Mbowe kashinda😂😂😂 yaani machawa hawajielewi
 
Back
Top Bottom