Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?
Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?
Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?
Je, kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?
Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?🐒
Mungu Ibarki Tanzania