relax basi gentleman,Hili swali ulipaswa kujiuliza wewe, umeshaamka usiku wa manane na ukaanza soma haya matakataka yako unayoandika hakika utajuta kwanini hauna akili kiasi kikubwa. Mfano...wewe na Lisu nani mwenye akili?
Gentleman,Kuna kuna vituo vya afya vina hudumia zaidi ya watu laki tano lakini ha ina hata X-ray mashine ,ila pesa za kutoa rushwa na kugawa rushwa mnazipata halafu bado tuwaqmini kwamba mpo kwa ajili ya wananchi.
CHADEMA hawana siasa zenye ushawishi na hawajajua watanzania wanahitaji siasa za aina gani ili waungwe mkonoGentleman,
kwanini chadema wamesusa kuchangia pesa kwajili ya viongoz wao kunywa pombe na kula nyama?π
Wewe huwa kinawasha muda wote. Unapaka nini njia haipoi?Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?
Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?
Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?
Je,
kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?
Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?π
Mungu Ibarki Tanzania
Kuendesha taasisi sio kupiga domo na kumchafua FAM alishindwa kuchangisha hata miln30 za mkutano seuze za kuendesha chamaWengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?
Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?
Au wanahisi watadanganywa tena kama walivyodanganywa mwaka jana kuchangia gari na hiyo gari ikayeyeuka kama barafu mpaka leo na haijulikani ilitakiwa kasi gani kilichangwa kiasi gani, sawa na michango ya sasa haijulikani inatakiwa kiasi gana na kiasi gani kimechangwa tayari?
Je,
kiongozi mpya wa Chadema haaminiki tena au kabisa hana mipango mikakati ya maana ya kujitegemea kuendesha chama bila kuomba?
Unadhani Tatizo ni nini kwa wito wa mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kupuuzwa na wanachadema wenyewe, hata michango ikasusiwa na kusuasua kiasi hiki?π
Mungu Ibarki Tanzania
kwanini hujachangia chadema mpaka sasa gentleman?πCHADEMA hawana siasa zenye ushawishi na hawajajua watanzania wanahitaji siasa za aina gani ili waungwe mkono
Lakini CCM inaumiza sana taifa hili kwa sababu ya ujinga wa wana CCM pamoja na viongozi wao wakipewa msaada mkubwa kabisa na jeshi la polisi nchi ina katwa kidogo kidogo mtakapo kuja kugundua na kushtuka nchi itakuwa imechakaa kabisa na naomba mungu asaidie mgundue mapema maana huko tuendako hata watoto na wajukuu zenu watakinywea kikombe hiki mana zama hubadirika pia
Hiyo ni nzuri.Kwa Sasa ukiagiza Gari kila kitu unafanya wewe mwenyewe kwenye simu Yako hadi Usajili na Kadi πΌ
hivi ni kiasi gani kinahitajka gentleman?πππ
Kama watu hawachangii ni kwa sababu hawana hela na kama hawana hela ni kwa sababu CCM Iko madarakani.
Kama hawachangii kwa kuwa hawaoni umuhimu wa kuchangia basi jua huo ni ujinga. Ujinga umeongezeka sana siku hizi kwa kuwa CCM Iko madarakani.
Bora huyu angalau anaonesha anachotaka kufanya,sio baadhi ya viongozi wa CCM, kama Wasira anaongopa dhahiri kabisa,ni kweli Siasa ni maneno,ila yaendane na ukweli,ukija na maneno mengi na tukiyapima tunaona kabisa yana ukweli au uongo.mfano wanachodai Chadema ni cha kweli na kipo dhahiri kabisa.na sisi wananchi kinatugusa kwa asilimia 100.CCM walishawahi kutuwekea mwenyekiti wa hovyo mtaani kwetu mwaka 2019,wananchi tukateseka naye sana,na yeye akawa anatamba tu,kuwa ataendelea kuwa mwenyekiti daima.huku utendaji wake ukiwa mbovu,mtu wa dili,kuuza mashamba ya kijiji,kuwadhurumu wananchi ardhi zao na kuziuza kwa matajiri kwa vile tu hawana hati miliki.laiti uchaguzi ungekuwa huru na haki,uenyekiti angeusikia kwenye bomba tukwahiyo kutapeliwa pesa na kibaka wa siasa hapakuumizi kabisa popote gentleman? dah!
basi wewe mvumilivi sana aise kamanda π
kwani mwaka jana kwaajili ya kununua gari alihitaji kiasi gani na ilipatikana kiasi gani?Bora huyu angalau anaonesha anachotaka kufanya,sio baadhi ya viongozi wa CCM, kama Wasira anaongopa dhahiri kabisa,ni kweli Siasa ni maneno,ila yaendane na ukweli,ukija na maneno mengi na tukiyapima tunaona kabisa yana ukweli au uongo.mfano wanachodai Chadema ni cha kweli na kipo dhahiri kabisa.na sisi wananchi kinatugusa kwa asilimia 100.CCM walishawahi kutuwekea mwenyekiti wa hovyo mtaani kwetu mwaka 2019,wananchi tukateseka naye sana,na yeye akawa anatamba tu,kuwa ataendelea kuwa mwenyekiti daima.huku utendaji wake ukiwa mbovu,mtu wa dili,kuuza mashamba ya kijiji,kuwadhurumu wananchi ardhi zao na kuziuza kwa matajiri kwa vile tu hawana hati miliki.laiti uchaguzi ungekuwa huru na haki,uenyekiti angeusikia kwenye bomba tu
Gari ilikuwa mambo yake binafsi.hivi ni kiasi gani kinahitajka gentleman?
na halafu,
mwaka jana kwaajili ya kuchangia gari zilihitajika kiasi gani na kilipatikana kiasi gani?
gari ilinunuliwa au pesa iliyeyukia kwenye bapa na nyama?π
Hauna hoja ya kunishawishi nisiwachangiekwani mwaka jana kwaajili ya kununua gari alihitaji kiasi gani na ilipatikana kiasi gani?
Na je, gari ilinunuliwa au mazingaumbwa tu?
haya,
sasa hivi kinahitajka kiasi gani na ni ngapi zimeshachangwa kwa mfano?
huyu ni afadhali ee gentleman, dah π
Mkuu, hawa jamaa wako busy na mambo makini ya CHADEMA; ila ya yule aliye hoji mbona FOMU 1 haikutolewa hawatuelezi kwa kinagaubaga!Ulichokiandika kina beba uwezo wa akili yako...huko kusuasua umejuaje umeshachungulia Account yao? Mna akili kama ya Kasongo Wasira kila mara Lisu ama Chadema. Muda mwingine puuza ujinga uliojaa kichwani mwako.