Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania