Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Jitafakari snkwani ulipokua unachoma vitenge vya mama, ni BAWACHA walikutuma?🐒

kumbe hadi mabinti huropoka kwa mihemko kiasi hiki?Kuna mingese humu, halafu ni mijitu mizima. Akili haina ikiamka asubuhi kazi kumwaga uharo humu.
Yaani kama Lissu na Heche tu wamewatoa jasho mpaka mmoja mmeamua apumzike sasa hiyo Chadema iliyoanguka sijui ni ipi. Chawa mnatia huruma sana. Sasa hivi mmekusanya wasanii wa mziki wote, wachekeshaji wote, wajinga wajinga kama yule muuza magari anayewatukana ninyi mlioenda shule wote kule dodoma ili mtrend lakini ngoma imekataa. Poleni🤣🤣🤣🤣🤣Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Unajitekenya halafu unacheks mwenyewe...KilazaRelax tu gentleman ikiwa huna pweinti na itapndeza zaidi 🐒
Gentleman,Yaani kama Lissu na Heche tu wamewatoa jasho mpaka mmoja mmeamua apumzike sasa hiyo Chadema iliyoanguka sijui ni ipi. Chawa mnatia huruma sana. Sasa hivi mmekusanya wasanii wa mziki wote, wachekeshaji wote, wajinga wajinga kama yule muuza magari anayewatukana ninyi mlioenda shule wote kule dodoma ili mtrend lakini ngoma imekataa. Poleni🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi watazamaji tumekaa palee tunaangalia mnyukano. Na mlivyo na ubongo kidogo mtamwachia lisu ili baadae muanze kutaka fadhila kwake kwa kumtaka apunguze spana🤣🤣🤣🤣.
somo lililopo mezani sio la vichekesho japo uko huru kukenua pia.Unajitekenya halafu unacheks mwenyewe...Kilaza
huna haja ya kubababika na moyo wa mtu gentleman, tuzungumze mambo bayana ndugu mdau bila kushupaza shingo.Kumbe Chadema imeanguka? 😅 😅
Jambo Moja ccm na wakala wake wanatakiwa kujua ni kuwa ni rahisi kuvunja jengo la kanisa/msikiti lkn sio rahisi kuvunja Imani iliyo katika moyo wa mtu.
Na wewe tusaidie umejifunza nini chaguzi zilizopita hasa 2024 serikali za mitaa? Chadema wamesema hawatashiriki uchafuzi.Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
HAKUNA ANGUKO LOLOTE NA HALITATOKEAhuna haja ya kubababika na moyo wa mtu gentleman, tuzungumze mambo bayana ndugu mdau bila kushupaza shingo.
anguko la chadema linavipa vyama vya siasa hasa upinzani fundisho gani kisiasa?🐒
Gentleman,CCM ndicho kilichoanguka, na kuegemea kwenye vyombo vya dola pekee.
Mimi ni mwana CCM lakini sipendezwi na vitendo ambavyo serikali ya CCM inafanya kwa raia wake.
Utekaji , mauaji na kubambikiziana makesi sio utanzania aliotuachia hayati J.K.Nyerere.
ni muhimu zaidi ukaandika uzi mahususi gentleman kuliko kujaribu kuhamisha mjadala.Na wewe tusaidie umejifunza nini chaguzi zilizopita hasa 2024 serikali za mitaa? Chadema wamesema hawatashiriki uchafuzi.
Wanataka mabadiliko ya tume ya uchaguzi kwanza sio mabadiliko ya uchafuzi.
Day dream hallucinatingChadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.