Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

CDM is here to stay because cdm is an ideology that is embedded in the hearts of it's members!
Gentleman,
that's nature of religious institutions and political parties,

your comment is not new thing🐒
 
Vimejifunza kusimama imala dhidi ya kina Mwesigwa na Mtungi
kukikimbiwa na wanachama ndio kusimama imara kweli gentleman?

au vimejifunza kua kauli za viongoz ziwaeza kubomoa na kukijenga chama right?🐒
 
Nimejifunza kuwa kuna watu wanaua demokrasia
Gentleman,
kwamba ni kujinyima na kujikosesha fursa kwa chama cha siasa kujitenga na michakato ya kidemokrasia kwa kauli ya kiongozi wake moja tu right?🐒
 
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.

Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?

Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?

Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?

Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?

Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unahaha...🤣🤣🤣🤣
 
Ndio walivyo graduates wa Concern College wanatoka na sifa ya kujua kusoma na kuandika tu
gentlemen,
msipotoshane kindezi hivyo tafadhali 🐒
 
CDM inafanya reform ya kusafisha makapi pandikizi ndani ya chama na kwa sasa tangu uhuru ndio upinzani halisi umeonekana kiasi cha kuyumbisha utawala uliopo hadi kupelekea matumizi nguvu kwa kutumia dola.
 
nccr mageuzi na cuf waliwahi kusema mapandikizi yanajiondoa yenyewe, Lakini mpaka leo vyama hivyo vya siasa ni dumavu. kauli hizo, si sawa na kujirudia kwa historia vyama vya siasa vilivyokua na viburi kama chadema na havijasimama mpaka leo?🐒
 
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.

Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?

Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?

Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?

Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?

Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kazi yako unaifanya vizuri sana blaablaah, shida ni kwamba mwaka huu haizai matunda. But keep trying
 
Kuna mingese humu, halafu ni mijitu mizima. Akili haina ikiamka asubuhi kazi kumwaga uharo humu.
 
Back
Top Bottom