Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

nccr mageuzi na cuf waliwahi kusema mapandikizi yanajiondoa yenyewe, Lakini mpaka leo vyama hivyo vya siasa ni dumavu. kauli hizo, si sawa na kujirudia kwa historia vyama vya siasa vilivyokua na viburi kama chadema na havijasimama mpaka leo?šŸ’
Mewachieni Lisu na tume ya uchaguzi
 
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.

Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?

Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?

Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?

Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?

Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
stuka usingizini unakunya kitandani bro!
 
🤣🤣 Fala ww
 
Wewe mburura huoni mikutano ya CHADEMA?
 
Jicho gani umetumia kuliona hilo anguko!!?
 
wewe ni wa kupigwa IGNORE za kutosha! kama wewe ni mzee, lazima utakuwa mwanga mlozi, kama ni kijana, basi ni kijana wa hovyo kwelikweli
 
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.

Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?

Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?

Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?

Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?

Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania

Huo Uhuni wenu na propaganda hazitafanikiwa. Yaani kwa akili za jawaida tu unafikiri Lissu angekuwa Jeko kama Chadema imeanguka? Muulize Makonda kule Arusha.....!!
 
Imeangu
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.

Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?

Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?

Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?

Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?

Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?šŸ’

Mungu Ibariki TanzaniaI
Imeangukaje chadema?
 
MM NAONA WW UMEANGUKA TAYARI SASA UTASUBIRI SANA ANGUKO LA CHADEMA HAUTALIONA ww kaendelee kuwa chawa.
 
Back
Top Bottom