Acha kudanganya,Chadema Imara,Ccm ndiyo hoi bintaaabaani mbali na usaidizi policcm,mutungi ya majikunywa,fisi wakijani na chawa wa kijani.Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.

Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huru
Kwa chini ukaandika kabsa Mungu ibariki Tanzania! Kwa akili hiyo ww unafkri taifa hili linafaa kutawaliwa na nchi gani kama siyo Uganda 😄😄. Umejaa matope kichwani.Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huru
Kwa chini ukaandika kabsa Mungu ibariki Tanzania! Kwa akili hiyo ww unafkri taifa hili linafaa kutawaliwa na nchi gani kama siyo Uganda 😄😄. Umejaa matope kichwaniChadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Akili mnemba nimetoka kumuuliza kakataa.Kwa kutumia akili mnemba labda
Kumbe Chadema imeanguka!! Mbona hukunishtua na mimi nianguke kama wenzangu,maana bado nimesimama wakati wenzangu wameanguka!!!Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wamejifunz Uharakati usiokuwa na maana hauna tija kwenye jukwaa la siasaChadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Unaendelea kujitekenya halafu unacheka mwenyewe.somo lililopo mezani sio la vichekesho japo uko huru kukenua pia.
But muhimu zaidi,
kwa mitazamo wako ni kipi hasa upinzani nchini unafaa kujifunza baada ya chadema kuanguka na kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa za Tanzania?🐒
Jadili hoja, acha culture ya matusi ya CDMImeangukia wapi tukaikote maana bado tunaitaka
CDM is no more, illusions ndyo inawatesa waumini wa "pipozi pawa"Anguko la ccm , sio CHADEMA
mbona sioni watu, kaazi kweli kweliImeangukia wapi tukaikote maana bado tunaitaka
Ukisikia watu wenye akili matope ndiyo ninyi sasa.
Tena sio matope ni usaha kabisaWenye akili tuliwatahadhalisha mapema tukawaambia, hakuna mtu anayeingia madarakani kwa ghiliba, chuki na vinyongo halafu akafanikiwa. Chadema itajuta kama tulivyowatabiria kabla. Mbowe kukaa kimya ana sababu.
Chadema aijaanguka wala aitaanguka kamwe.Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe.
Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza kutokana na anguko la ghafla la Chadema kwenye medani za siasa za Tanzania, mara tu baada ya kumaliza uchaguzi wake wa ndani na kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania?
Je,
vyama vya upinzani nchini vitakua vimeona na kujifunza hatari ya kubeza vyama vingine vya upinzani vyenye wanachama wachade na kuwaita mamluki wa chama tawala?
Je, vyama vya siasa vya upinzani nchini vitakua vimejifunza athari za uhasama, dharau na uadui baina yao wenyewe?
Je, vyama vya siasa nchini watakua wamegundua kwamba migawanyiko yao ndio haswa njia ya chama tawala kupata ushindi wa kishindo na kwamba hakuna chama cha upinzani kimoja pekeyake nchini kinachoweza kuitikisa chama tawala bila kuungana?
Chadema haina mgombea uongozi hata moja nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na inajipendekeza tume ya taifa ya uchaguzi ili ionewe huruma, unadhani ni sahihi kaidi mropkaji kuonewa huruma?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Muda UTASEMA TUSIPIGE RAMLIWenye akili tuliwatahadhalisha mapema tukawaambia, hakuna mtu anayeingia madarakani kwa ghiliba, chuki na vinyongo halafu akafanikiwa. Chadema itajuta kama tulivyowatabiria kabla. Mbowe kukaa kimya ana sababu.