Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

nccr mageuzi na cuf waliwahi kusema mapandikizi yanajiondoa yenyewe, Lakini mpaka leo vyama hivyo vya siasa ni dumavu. kauli hizo, si sawa na kujirudia kwa historia vyama vya siasa vilivyokua na viburi kama chadema na havijasimama mpaka leo?πŸ’
Mewachieni Lisu na tume ya uchaguzi
 
stuka usingizini unakunya kitandani bro!
 
🀣🀣 Fala ww
 
Wewe mburura huoni mikutano ya CHADEMA?
 
Jicho gani umetumia kuliona hilo anguko!!?
 
wewe ni wa kupigwa IGNORE za kutosha! kama wewe ni mzee, lazima utakuwa mwanga mlozi, kama ni kijana, basi ni kijana wa hovyo kwelikweli
 

Huo Uhuni wenu na propaganda hazitafanikiwa. Yaani kwa akili za jawaida tu unafikiri Lissu angekuwa Jeko kama Chadema imeanguka? Muulize Makonda kule Arusha.....!!
 
Imeangu
Imeangukaje chadema?
 
MM NAONA WW UMEANGUKA TAYARI SASA UTASUBIRI SANA ANGUKO LA CHADEMA HAUTALIONA ww kaendelee kuwa chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…