ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Hapo sawa! Nikishaona mtu anaanza kunichamba lazima nitoke ndukii kama matani sawa natafuta mnyonge wangu tunatanianaHuna hulka hiyo ndio maana huwezi licha ya kua umezaliwa mjini
Hapo sawa! Nikishaona mtu anaanza kunichamba lazima nitoke ndukii kama matani sawa natafuta mnyonge wangu tunatanianaHuna hulka hiyo ndio maana huwezi licha ya kua umezaliwa mjini
Ukiona Mtu ana mdomo sana na michambo mengi bc hata kulelewa kwake kulikuwa kwa uswahili sanaIla watu wana maneno wanajua kuchambana! Mimi kila nikijaribu kuunganisha sentensi iwe kichambo siwezi na hapo nimezaliwa Amana nimekulia Ilala ningelelewa bush ingekuaje
Dah! 😹😹😹Na mm ndo lecturer wako nakupa GPA ya 0.8 kama frequency za radio 😂
Polee haya mambo sio ya kila mtuHapo sawa! Nikishaona mtu anaanza kunichamba lazima nitoke ndukii kama matani sawa natafuta mnyonge wangu tunataniana
Ww ntakutumia special Ukiwa bado Na lailon yake ila kule ntatuma ya kawaidaUkija kutupia huo ukuni ni tag kijana
ShenziiiiWw ntakutumia special Ukiwa bado Na lailon yake ila kule ntatuma ya kawaida
Mbona mimi nimelelewa uswahilini? Tena familia nilolelewa inajulikana Katikati ya Ilala tulikua tunaogopwa sababu shangazi yangu anachamba balaaUkiona Mtu ana mdomo sana na michambo mengi bc hata kulelewa kwake kulikuwa kwa uswahili sana
Ushawahi kuchambwa na Ngabu?Ukiona Mtu ana mdomo sana na michambo mengi bc hata kulelewa kwake kulikuwa kwa uswahili sana
Faida ipo si kama hivi tunacheka😂😂Polee haya mambo sio ya kila mtu
Na hayana hata faida
Bc njia uliochagua ww n sahihi, achana na malaya wa SinzaMbona mimi nimelelewa uswahilini? Tena familia nilolelewa inajulikana Katikati ya Ilala tulikua tunaogopwa sababu shangazi yangu anachamba balaa
Kuchamba itakua ni kipaji watu wanazaliwa navyo
HakunaaaaFaida ipo si kama hivi tunacheka😂😂
Ulivyosema malaya wa sinza nimekumbuka eti umekeketwa😂Bc njia uliochagua ww n sahihi, achana na malaya wa Sinza
Achana na Marry Sinza kwa wajanja wewe..!!Bc njia uliochagua ww n sahihi, achana na malaya wa Sinza
Mambo yao waachie wenyewe, wamekuletea tight uvae?Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.
Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.
Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!
Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.
Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.
Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.
Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba
Karibuni tule lunch ya ofisini kwetu🌹
Mambo baby wangu unaeniringia 😎Shenziiii
Wanawake hawatabadilika. Ni muda wenu mnapotezaUmeamua kumshambulia tu amenyooka sana kwenye maelezo yake na kama kweli yupo hivyo alivyoelezea yupo vizuri kwenye swala la mavazi
hajachagua upande ameeleza kwa ujumla na kagusia mavazi ya kiislam ni kweli utaratibu wa mavazi yao upo vizuri ila baadhi wanaaribu mavazi ya upande huo
Iko wazi wanawake wabadilike kwenye mavazi mnalalamika ubakaji unyanyasaji lakini ninyi wenyewe ndio mnasababisha, sehemu za ibada hamuzieshimu dini zote kiujumla sio kristo sio islam.. vaeni nguo za stara
Na mbaya zaid unakuta mwanamke ameolewa lakini anachovaa akieleweki akitongozwa na vijana analalamika.. sio vizur
Mtoa mada umenyooka sanaa aisee
Tulikubalia mi dada ako sa imekuaje tenaMambo baby wangu unaeniringia 😎
Mpaka ifikie huko kuchambwa, labla sio mm.Ushawahi kuchambwa na Ngabu?
Yule mpaka lyrics za taarabu anazo na wa kishua..!! 😹😹😹
Wewe unapenda nyeto ulilelewa wapi? 😹
Ww n dada angu tukiwa public, Ila private nakutaka 😎Tulikubalia mi dada ako sa imekuaje tena