Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Kitambaa cheupe waislamu wa kike wamejaa mchana staa usiku bulaaaaa nenda bar wameva madela kama kina gentamycine
Mimi si mtu wa mabar hivyo ngumu kujua nini kinaendelea
 
Merry D haya Nomadiq si ulisema unataka wife material? Hutaki wavaa crop top?

Huyu hapa kapatikana..!!

Merry mi nakuelewa, Kwahiyo unashauri nchi nzima tuvae stara? [emoji81][emoji81]

Na tusio na dini hili linatuhusu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Takataka mwenyewe,Una uspecial gani mbwa mwitu wewe,kujiuza mtandaoni unajiona wa maana wewe panga foleni dada huniwezi Mimi Mimi Nina kazi nakulisha na kukunywesha mwaka mzimq
Mabwakuuuu tenaa haya, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weeh kumbe? [emoji81][emoji81][emoji81]
Mi niko hapa nachukua notes Dr Marry [emoji91][emoji91]

cocastic ukitoka job uje da Marry ana pindi hapa..!!
Rhabhekhaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
DA Marry kachafukwaa mbayaa mbovuuu. Kwani shida ni ganiii??
 
Back
Top Bottom