Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Marry anapiga personal sana alooo!! [emoji81][emoji81]
Nimemuogopa Marry kuanzia leo simchokozi hata kidogo..!! Anaroast km grok [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila weweee, unacheza na DA marry toto la TMK, cha ukucha halisi, haogopi dudu wala mende.
Lol
 
Ushawahi kuchambwa na Ngabu?
Yule mpaka lyrics za taarabu anazo na wa kishua..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Wewe unapenda nyeto ulilelewa wapi? [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
cocastic hivi kwann umedoji kipindi cha Prof Marry Dikompoza? [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, sijapendaa mbonaa kipindi kimetumia dkk chache, na mpinzani wa DA marry katoka ndukiii mapema sanaa.

Alooooh, nimepitwaaa, woiiiiiih.
 
Jamaniii hadi wewee ni mbea hivii, khaaah!!
JF ni noumerrrrrrr!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti, nitake radhi. Kwenye huu uzi nilikuwa nashangilia vita kati ya mahasimu wawili. Haya mambo yako ya umbea yametokea wapi tena!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, sijapendaa mbonaa kipindi kimetumia dkk chache, na mpinzani wa DA marry katoka ndukiii mapema sanaa.

Alooooh, nimepitwaaa, woiiiiiih.
😹😹😹 Taulo limerushwa haraka watu wametoka nduki dadeq..!!

Marry sio wa mchezo mchezo kapiga kwenye mshono..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila weweee, unacheza na DA marry toto la TMK, cha ukucha halisi, haogopi dudu wala mende.
Lol
Da Marry mtoto wa mbwa hatishiwi nyau ohhhh!! 😹😹😹

Bana warudi hii mechi bado haijaisha au wewe mshika kibendera unasemaje? 😹😹
 
Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.

Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.

Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!

Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.

Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.

Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.

Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba

Karibuni tule lunch ya ofisini kwetu🌹
Umefikisha ujumbe wanakuattack wengi ndo wafanyao hivyo. Anyways pia mambo ya dini hayahusiani
 
Aisee, primitive thinking.
 
Back
Top Bottom