Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Magonjwa yote ya zinaa yameanzia sinzaAchana na Marry Sinza kwa wajanja wewe..!!
Ukimwi ulianzia wapi km sio mikoani 😹😹
Magonjwa yote ya zinaa yameanzia sinzaAchana na Marry Sinza kwa wajanja wewe..!!
Ukimwi ulianzia wapi km sio mikoani 😹😹
Astghafirullah mtoto huna hata wewe🙌😁Ww n dada angu tukiwa public, Ila private nakutaka 😎
Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.
Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.
Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!
Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.
Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.
Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.
Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba
Karibuni tule lunch ya ofisini kwetu🌹
Mwanaume kukeketwa c ndo kutahiriwa Au?Ulivyosema malaya wa sinza nimekumbuka eti umekeketwa😂
Nakutaka ndioAstghafirullah mtoto huna hata wewe🙌😁
Thubutuuu.!! Yameanzia border huko na kuzama ndani..!!Magonjwa yote ya zinaa yameanzia sinza
Sorry Madam, hii vita utaiweza? Akirudi huko kimbia aisee💃💃Mambo yao waachie wenyewe, wamekuletea tight uvae?
Sio wewe Marry alikwambiaga ni kilema?😂min -me tunakuomba uturudishie Seran wetu. Haiwezekani Marry Diana amekuwa kama Iran dhidi ya Marekani! Hii vita haiwezi kuisha kirahisi hivi! Tunamtaka Trump arudi na makombora yake ya Tomahawk 😀
Itakuwa siyo mimi. Mimi na Marry tunaheshimiana. Angalia kwenye huu uzi wake mwanzoni kabisa nimeitikia shikamoo yake. 🤓Sio wewe Marry alikwambiaga ni kilema?😂
Au nikupe GPA kabisa shogaaHili pindi haina kucarry wala kusup natoka na GPA kali 😹😹😹
Nakuheshimu,haswa unavyojenga hoja na Yanga yako kule Jamiisports,siwezi kukuvunjia heshimaItakuwa siyo mimi. Mimi na Marry tunaheshimiana. Angalia kwenye huu uzi wake mwanzoni kabisa nimeitikia shikamoo yake. 🤓
siajaona sbb yakumshambulia maana alichoongea ni kweliUmeamua kumshambulia tu amenyooka sana kwenye maelezo yake na kama kweli yupo hivyo alivyoelezea yupo vizuri kwenye swala la mavazi
hajachagua upande ameeleza kwa ujumla na kagusia mavazi ya kiislam ni kweli utaratibu wa mavazi yao upo vizuri ila baadhi wanaaribu mavazi ya upande huo
Iko wazi wanawake wabadilike kwenye mavazi mnalalamika ubakaji unyanyasaji lakini ninyi wenyewe ndio mnasababisha, sehemu za ibada hamuzieshimu dini zote kiujumla sio kristo sio islam.. vaeni nguo za stara
Na mbaya zaid unakuta mwanamke ameolewa lakini anachovaa akieleweki akitongozwa na vijana analalamika.. sio vizur
Mtoa mada umenyooka sanaa aisee