Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Daaah aiseee am a man but you seem to be wife material, hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana kwanini mistari ya chupi ionekane!?Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.
Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.
Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!
Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.
Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.
Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.
Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba
Karibuni tule lunch ya ofisini kwetu🌹
Au ndo imekuwa fashion siku hizi?
NB: HAPO KWENYE PEDI KUTUNA SIJAJUA ITABIDI NIANZE KULENGA MACHO YANGU MAKALI LILE ENEO ILI NIONE KAMA IMEKAA UPANDE AU IMETUNA PINDI NIPITAPO BARABARANI
Umeongea point kubwa sana 🔥🔥