Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Ukiona Mtu ana mdomo sana na michambo mengi bc hata kulelewa kwake kulikuwa kwa uswahili sana
Ushawahi kuchambwa na Ngabu?
Yule mpaka lyrics za taarabu anazo na wa kishua..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wewe unapenda nyeto ulilelewa wapi? ๐Ÿ˜น
 
Mbona mimi nimelelewa uswahilini? Tena familia nilolelewa inajulikana Katikati ya Ilala tulikua tunaogopwa sababu shangazi yangu anachamba balaa
Kuchamba itakua ni kipaji watu wanazaliwa navyo
Bc njia uliochagua ww n sahihi, achana na malaya wa Sinza
 
Mambo yao waachie wenyewe, wamekuletea tight uvae?
 
Wanawake hawatabadilika. Ni muda wenu mnapoteza
 
Ushawahi kuchambwa na Ngabu?
Yule mpaka lyrics za taarabu anazo na wa kishua..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wewe unapenda nyeto ulilelewa wapi? ๐Ÿ˜น
Mpaka ifikie huko kuchambwa, labla sio mm.

Khs nyeto n automatically mwanadamu mwenye akili timamu lazima afanye hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ