Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Duh! Jew and Israelite!.Jew ni tamaduni sio uraia!. Israelite ni uraia.kulikua na makabila 12, kabila bora kabisa ni Judah, linalofuata ni Lawi na la tatu ni Benjamin. Wote 12 makabila waliitwa Nyumba ya Israel lakini sio Jew!. Jew wa kweli walitoka milima ya Salem( Jerusalem) na mji wa Bethlehem ambao ulikaliwa na Judah kama viongozi wa kisiasa,Lawi kama Makuani na viongozi wa Dini.Ndio maana kipindi cha Yesu kulikua na Mahekaru kila sehem lakini ili uonekane wewe ni Jew,unaefuta nasaba ya kiyahudi lazima ukaabudu Jerusalem.Kwakua Judah(Real Jew ambao Mungu alihaidi atasimama nao) ndio walikua bora kuliko makabila yote ya Israel. Kwahiyo ili uwe Jew lazima ufuate nasaba ya Judaism!. Sio lazima uwe Jew, kwa kuwa wapo wa Israel ni wakristo lakini ni waisrael na sio Jew.Albert Einstein alilelewa katika ukristo, ni Muisrael wa Semitic ya Marekani, Bill Get ni Muisrael wa Semitic ya Marekani na ni Mkristo.So kama umezaliwa katika kabila la Zabroni, Ammon au mengine utaitwa Jew kama utafata imani za Judah,lakini kama ufuati basi wewe ni Muisrael tu.
 
Kwa kuongezea ukijiita JEW(Myaudi)( au nasaba ya Zionism)maana yake unajiambatanisha na au unatengeneza fikra za imani ya kinabii ijayo, bali haielezei Uraia wa Israel!.Israel kuna raia 13 milion ,lakini Judaism 4milioni, pagan 5 million,waliobaki ni Christian, na imani zingine. Lakini wote 13 milioni ni WaIsrael,lakini sio Jew.Hao Jew bado wanamsubiri Masia ambae kwao hajaja,na kwa wenzao wengine alishakuja na atakuja Mara ya pili.Kwao wao Jew! Benjamin Netanyau ni Pagan lakin analinda misingi Jew ili kuimarisha umoja.
 
ukirudia historia ulizeni kwanini Tanzania ilivunja uhusianao nayo na pili jinsi walivyokuwa jirani na serikali ya kikaburu kule SA
Niliona uzi hapa JF kuwa uhusiano wa kibalozi umerejeshwa sasa sijui ni kweli?
 


Muogope mungu una uhakika hizo namba ulizoweka hapo ni sahihi.... Acha uongo

Soma hapa ujielimishe na sio kutandaza uongo mtandaon
Religion in Israel - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Okk! Labda sikua sawa sana kwenye idadi, lakini Mimi sikuhusisha wapalestina na beduin ambao dini yao ni Islam.mada sio dini , nipinge katika Jew na Israelite ili nikuelewe.Nielimishe hapo na Mimi nikuelimishe,dini haziusiki.
 
Okk! Labda sikua sawa sana kwenye idadi, lakini Mimi sikuhusisha wapalestina na beduin ambao dini yao ni Islam.mada sio dini , nipinge katika Jew na Israelite ili nikuelewe.Nielimishe hapo na Mimi nikuelimishe,dini haziusiki.

Hivi unafahamu maana ya jews wewe??... Hivi unafahamu maana ya israelite ??.... Hivi hiyo tofaut unayoisema wewe umeitoa wapi??... Ninavyoelewa mimi jews n muislaer...Soma hapa kuanzia sheria yao ya kurud nyumbani kwa jews wote dunian

Law of Return - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu nipe hizo tofaut unazozisema wewe
 

Mbona inasemekana Hitler naye alikuwa myahudi licha ya kuwa aliwauwa sana.
 

Kwahiyo Mungu kateua taifa moja teule lisimamie mataifa mengine?

Taifa moja ni teule mengine ni uchafu?

Huwezi niaminisha kama wanadamu,Waisraeli ni wanadamu zaidi yetu mimi na wewe...

Biblia wameandika wao,unategemea nini?Acha slave mentality Mwafrika mwenzangu.
 
Nimekuja na idea nzuri. Lengo ni kuwa nilipotumia jew nilimaanisha Israelites maana watoto Wa yakobo.
Jew,Hebrew,Zionist,Samaritans ,judeans Israelites kwa maana ya 10 tribes kingdom excluding Jude and benjamin,Kwa vyovyote watakavyoitwa kikundi chochote nje ya hapo as far as wametokana na yakobo Mimi sina tatizo. Ila km kuna elimu unataka kutoa zaidi Unaweza iweka wazi pia.
 
K
Karibu mkuu for any practical challenge. Tuko hapa kuelimishana.
Mfano michachr richest Zionist hawako israel, mfano owner Wa barrick gold mining Peter munk living in Canada amekuwa mwenyekiti wa chama cha waisrael weñgi matajiri wasioishi Israel kwa muda mrefu, makampuni mengi mkubwa ya nawasiliana ulaya na Scandinavia inasemekana wanamiliki wao. Hata kwenye kuporomoka kwa uchumi Wa ugiriki analysts waliwahusisha Zionist billionaires ambao hukopesha mataifa
 

Mkuu shukran sana,
Nilichotaka changia ni kuwa hawa wakina Netanyahu au Shimon Perez sio uzao wa Yaakob (Israel) au Judah. Wazazi (wazungu wa poland, ujerumani, eastern europe nk) wao ndio waliingia kwenye dini ya wayahudi Judaism. Kimsingi Uzao wa Yakob ndio Isralites, uzao wa Judah ndio Jews by birth. Yaani kama vile kusema mwarabu na mwislamu. Sio kila mwislamu ni mwaarabu. Hawa ashkenaz jews waliopo Israel kwa sasa sio Isralites wala uzao wa Judah. Israelites (kina Moses) kama uzao, walikuwa black people waliofanana sana wa watu weusi wa Misri (kina Pharaoh) wa enzi zao. Kina Netanyahu ni Israelis kwa maana ya uraia wa nchi ya Israel. Hiyo haiwapi sifa ya kuwa Israelites. Ni jews kwa ile conversion ya wazazi wao. Hii mada inaikoroga sana dunia kwa sasa. Ila ushahidi wa DNA sasa ndio unaonyesha makabila mengi ya Afrika haswa yenye asili ya kibantu ndio waliokuwa original israelites (jisomee Lemba tribes, bantu language versus hebrew). Rais wa Misri (Marehemu Nasser) alishawahi kuwaropokea hawa walowezi wa Kiyahudi kuwa "you left BLACK and returned WHITE" (all search engines) kwa vile waarabu walikuwa wanajua kuwa wayahudi wa asilia were black.

shukran kwa majibu yako
 
Umenena vyema lkn kuna vitu tuwekane sawa. Waanzilishi Wa taifa hilo walitokea kijiji kimoja poland walipokuwa wakitengwa na wenyeji. Hawa walikuwa wayahudi na hata ulaya walitambulika hivyo.
Wayahudi wapo wenye asili nyingi wazungu Wa ulaya mashariki, waarabu,weusi,warusi, hata wahindi.
Pia unachanganya kati ya yuda na Israel. Baada ya kufariki Suleiman maana Wa daudi. Israel iligawanyika na kuwa falme au nchi mbili, ambayo ni Israel yenye kujumuisha makabila 10 Makao makuu yalikuwa ni Samalia. Na Yuda ambayo ilijumuisha makabila mawili ya Yuda na Benjamin makao makuu yakawa Jerusalem.
Miaka michache before yesu. Hizi falme zote zilisambaratishwa na wababeli. Wakatawanyika. Miaka sabini baada ya yesu general Nero Wa Roma alihamia Jerusalem na kuwaua mamilion ya wayahudi na makali kutawanyika na wengine kupelekwa ulaya.

Asilimia kubwa ya waisrael Wa Leo pale ni machotara Wa kizungu waliokimbilia ulaya. Katika zama za Giza na vita vya dunia maelfu pia walikimbia ulaya mashariki namaghartibi kukimbilia ulaya.
Waisrael kuwa weusi inawezekana pia maana hata Musa alioa mtoto Wa yethro ambaye walikuwa mweusi. Watoto Wa musa hawaelezewi. Suleiman alioa watoto Wa malikia Sheba Wa Ethiopia aliyekuwa mweusi. Kuna waisrael weñgi weusi ndio maana hata kuanzisha kwa taifa hilo mwazoni watawala wakiingereza walitaka kuwaleta Uganda, mpkakani na kenya, na tulikuwa na proposal ya wao kutafutiwa ardhi Ethiopia japo mwisho wakawaruhusu kurudi palepale parestina. Hapo DNA itakubika.
 
kosa lililopelekea Hitler kuwachoma moto lilikuwa lipi maana naona unajustfy kuchomwa kwao
Kosa lilikua ubaguzi na ujasusi wao napia hua wana fikiria wao ni bora kuliko binadamu wengine
 
Key words za kukuongoza. Juda, yuda. Yehuda, yahudi.
Mji mkuu wa Cameroon unaitwa YAOUNDE, hebu ondoa hiyo N, utapata neno sawa na yahudi, baada ya hapo jitanue kwenye search engines
 
[Color=blue[USISAHAU Hapa ndo kitovu cha Ukristo na mwanzo wake BWANA YESU ASIFIWE[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…