Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Basi mkuu usiwatukuze saana kisa ukristo wako Mchamungu ndio mbora zaidi mbele ya Mwenyezimungu
 
Mkuu una justify uuaji wa binadamu yeyote?

Aisee acha dini haijakusaidia chochote
wanauwana wanagombania mipaka,....mimi sijabariki kuuwana kwaoo,...ila inabidi utubu ndugu,....umeita mitume wa Mungu wehu,...Yohana alitokewa na Yesu akiwa ktk kisiwa kimoja patmo,...akamwambia uyaonayo hapa yaandike,...akaandika,...wewe leo unamtukana...,,katubu ndugu..,
LebronWade
 

Mkuu Evans ukiambiwa Israel na Tanzania ni sehemu mbili sawa kabisa bila upendeleo wowote mbele ya mungu utakubali kweli?

Yaani unaamini Wanadamu wote duniani ni "Wateule" mbele za Mungu kama wanadamu?Unaamini hilo kweli?
 

Huo ndio ukweli,Christianity in Israel is just 2.1%
 
Mkuu Evans ukiambiwa Israel na Tanzania ni sehemu mbili sawa kabisa bila upendeleo wowote mbele ya mungu utakubali kweli?

Yaani unaamini Wanadamu wote duniani ni "Wateule" mbele za Mungu kama wanadamu?Unaamini hilo kweli?
naamini ila Israel ni taifa teule..,,na kuamini wanadamu ni wateule kivipi???UNAJUA MAANA YA MTEULE
 
Huo ndio ukweli,Christianity in Israel is just 2.1%
Ila jua hili..,,bible inasema jitahidini kuingia ktk njia nyembamba maana wengi watataka kuingia wasiweze.,,,ndomaana yake hiyo ndugu.,,..njia ni nyembamba nayo imesonga na wanaifuata ni wachache,...
 
Albert eistein kiumbe mwenye akili sana duniani na pia myahudi,alipinga uwepo wa taifa la israel,
yeye aliitambua palestine
 
Kila anayemwamini Mungu anafanya kuirithi ahadi ya ibrahimu. Kanani/parestina/itabidi ilikuwa ni mfano tu.
Ahadi ni kwa dunia nzima hata wewe Leo ukiamini anakuwa mtoto Wa ibrahimu kidogo. Ndio maana hao wayahudi wanajifanya hawamtambui yesu wanakumwagia wazao Wa ibrahimu kimwili lakini hawapo katika mlango Wa Mungu
 

Ndio shida inapoanzia....lazima muanze kwa kumtisha mtu kwanza..why scaring people?

Wameandika Wayahudi kama wewe na mimi,intentions zao za kibinadamu hatuzijui,ila wanaponiaminisha wao ni bora zaidi ya wanadamu wengine mbele ya Mungu nina haki ya kuhoji kwa hasira kabisa

Hebu twende na historical timelines maandishi yamevumbuliwa lini na fasihi andishi yenye sentensi organized na uandishi sanifu kabisa ulianza lini...usiniletee stori ya kuoteshwa ndoto
 
Israeli moja ya mataifa ya kwanza kabisa kuhalalisha Ushoga duniani, Isareli ndo nchi ya kwanza kuhalalisha Ushoga jeshini na juzu katu USA kafuatia.

Israeli ni moja ya mataifa yanato ongoza kwa kuwabagua Waafrica, Isaralei inaubaguzi wa kiwango cha juu kabisa kwa Waafrica, Haitakiwa waafrica waishi Israeli na huwa wanafukuzwa au hata kuuwawa, Wa ethipoia wanateswa sana Isareli na wameisha katazwa kuzwaliana.

Israeli ndo Taifa pekee lililo kuwa linawaunga mkono Makaburu wa Africa kusini kipindi cha ubaguzi wa rangi kwa nguvu zote, ingawa hata Ulaya ilikuwa inaegemea kwa makaburi ila Isaraeli walikuwa ni zaidi.

Tatizo la Wakristo wenzangu wa Bongo tumeshikiwa akili, tumelishwa maneno na kuamini, ukifuatilia matendo ya nchi ya Isaraeli utagundua kwamba huu uteule ni siasa tu.

Acheni ksuhiukiwa akili someni vitabu
 
naamini ila Israel ni taifa teule..,,na kuamini wanadamu ni wateule kivipi???UNAJUA MAANA YA MTEULE
Huo uteulie ulisoma wapi? au ulihubiriwa na akofu/mchungaji/nabii? acheni kujitoa ufahamu, hiyo Israeli mnayo iabudu ndo Inayo ongoza kwa kuwabagua Waafrica, soma historia ya Ubaguzi wa rangu kule Africa kusini ujue mchango wa Israeli ulikuwa ni upi, acheni
 
ndiyo taifa linaloishi kwa kubebwa na kulialia sana.
na ndiyo taifa lisilo na eneo la hata nchi moja ya ardhi halali
Wanaongoza kwa kuandika na media kuliko taifa lolote duniani
 
And host shall stand at his side...... he shall take advices of those who forsake the holy covenant..... and they shall polute the sanctuary, remove the daily sacrifice and in it's place shall stand the abomination that maketh desolation
 
Last edited:
LebronWade ww nimekutisha nini????????
 
Mkuu mambo kama haya maaskofu/wachngaji/manabiii huwa hawaelezi waumini wao, pale ni full kulishwa maneno na kuambiwa tuombee taifa la Israeli, Hawa jamaa ni wabaguzi hakuna mfano,
Hiki ndio kipimo kimojawapo cha ukanjanja katika mambo ya kidini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…