Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Mkuu no 5 na 8 kama ume contradict 🙄Baba halisi hapo ni nani Kati ya David Ben Gulion na Benjamin Ben Gulion
 
X mass na mwaka mpya nilikuwepo haifa city mkuu,kilichonishangaza siku ya x mass hakukuwa na sikukuu yyt ilikuwa ni siku ya kawaida,na mleta uzi amesahau kitu kimoja km ni nchi pekee duniani ambayo jumapili ndio mwanzo wa wiki km ilivyo nchi nyingine jumatatu kuwa ndio mwanzo wa wiki,jamaa weekend wanaianza ijumaa saa 6 mchana na jumamosi full day,jumapili wanaingia mzigoni,na jamaa si wabaguzi wa dini wala rangi km tunavyohaminishwa
 
Facts ya 3 ni uongo! Nchi haiwezi ikaonekana kwenye ramani ya dunia ukaikimbia kwa masaa mawili ukaimaliza. Zanzibar yenyewe kwenye ramani ya duniani haionekani, nenda kakimbia uone kama hujamaliza miezi kuimaliza.....
 
sisi mataifa mengine ni mataifa ya shetani..?
 

Nimependa experience yako... But kuhusu ubaguzi natofautiana na wewe jaribu kuingia you tube uone waethiopia na wasudan wanavyonyanyaswa
 
Peleka upuuzi huko. Yaani wewe ni upumbavu umekujaa kichwa kizima
 
Kweli mkunje samaki angali mbichi, hizi dini za utotoni nikumeza bila kujali, ingekua unajifunza dini baada ya kuwa na elimu. Matokeo yangekuwa tofauti
 
Nimependa experience yako... But kuhusu ubaguzi natofautiana na wewe jaribu kuingia you tube uone waethiopia na wasudan wanavyonyanyaswa
Waethiopia wanaenjoy hapa mpk ktk jeshi la israel kuna waethiopia wengi mno sina hakika sana khs wasudan ila kuna jamaa aliniambia kuna sehemu maalum ya kuishi wamepewa,khs ubaguzi binafsi sijawahi chembe ya ubaguzi kwa waisrael,na experience na east europe nimeuona ubaguzi wa wazi wazi,hlf khs wahamihaji wanaoingia israel kupitia egypty wakikamatwa na waegypty uwa wanawaua kabla hawajaingia israel
 
hawa ndo wabaguzi bora kabisa kuwahi kutokea....
Hapo napinga kabisa. Myahudi ameteseka kwa miaka zaidi ya elfu 5. Aliwekwa utumwani Misri, aliteseka kuingia kanaan, kabla ya hapo Abraham alitembea miaka mingapi toka Iraq kwenye mito ya tigris na Elfragtes? je vita vingapi wamepigana ili waweze kusurvive?

Mazalia yao tunayaona yanavyozidi kuteseka ulimwengu mzima. Wafalasha ilibidi wawachukue toka Ethiopia lakini je waliweza kuwaokoa wahima toka kwa Interahamwe? Migration ilikuwepo na itaendelea ingawa sasa hivi inakuwa controlle)d na majeshi ya mipaka lakini tukumbuke watu walihama na watazidi kuhama kama unavyoona wasyria na waafghan wanahamia ulaya. Toka Iraq Abraham alihamia Kanaan na mke wake Sara pamoja na mjakazi wake alompatia toto (soma agano la kale) Myahudi yupo Tanganyika, yupo ulaya, Amerika na popote kama mtu mweusi alivyo kila mahala. Utumwa na kuhama vimechangia pamoja na kukimbia unyanyasaji na kuteswa kwa karne nyingi.
 
Is mosad a terrorist organization????
Kiongozi inategemea unatumia tafsri ipi kutafsiri terrorism. Lakin ninapendekeza kwako kitabu kinaitwa the General's Son kimeandikwa na mtoto wa generali wa jeshi la israel aliyehusika katika harakati za kuanzisha taifa la israel....! Google ....hyo title..pia iko video yake youtube. Please go for it.
 
Thanks kaka. Nimewaza hata kabla ya kugugo nimegundua terrorism term ambayo ni too subjective. It depends na how you narrate it. Nimekuelewa kiongozi wangu na nashukuru umejibu kwa hekima kubwa.
Pia kuna mdau kachangia kwamba mosad ni most trained and well fed na wana kitengo maalum cha assassins. Hapo nikapata maana halisi uliyoikusudia na nakuunga mkono.
 
Nampe
Shukrani kwa elimu.

Kiboko ya hawa jamaa alikuwa Hitler, aliwachoma moto uchi vitoto vya Israel..
Nda sana hitler aliuonesha uimwengu kwamba waisrael ni watu kama wengine.Tena ni wazuri hata kubanika
 
 
M
mkuu na kama anaamini hivyo basi inatubidi sasa tuungane na wasioamini uwepo mungu.
 
Nimeipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…