Unaepuka vipi kuwa "Chikunde" ukiwa unadate na mtu mambo safi?

Uncle tangu nikiwa mdogo, nilikuwa naomba kweli utumbo wasiutupe, nausafisha, natia viungo nakaanga teh, hadi leo nikiuona mate yananitoka. Cha kushangaza nikikuta tu nyama imechanganywa na utumbo wa ng'ombe sigusiìiiiii
Mpwa siuliziii utumbo wa ngombe au mbuzi...

Naulizia wa Kuku..
 
Uncle si ndo nimeusifia utumbo wa kuku. Ukikuta sehemu niletee tafadhali; usisahau na kapilipili. (Mate yamenitoka)
Hahaha..... Umebarikiwa saana.

Kwa hiyo kwa kuku mpwa wewe unatupa manyoya tu! haha hata sikuiti na sitaki kuona mtu anaula.
 
Mpwa pale natupa manyoya tu. Ushawahi kula supu ya miguu ya kuku?
Hahaha..... Umebarikiwa saana.

Kwa hiyo kwa kuku mpwa wewe unatupa manyoya tu! haha hata sikuiti na sitaki kuona mtu anaula.
 
Hii mitoko bhn kunasiku niliwaambia washkaji hii misosi yenu mie sishibi kabisa niliwaleta uswazi wakapiga chipsi za uswazi waka zisifia kinoma yaani ndio ikawa chimbo lao nikaja tena kuwalisha miguu ya kuku wanabaki tu kusifia kumbe ndio mitamu hivi,halafu wanashangaa bei chee msosi wa kusaza kisha wananiona mimi nalalamika wametupunja
 
Tena hapo unapiga uongo mwingi matajili wote watajilikana na kazi zao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shibe bhn akapita mwajuma unae asha unae
 
Kuna mwana siku nipo foleni dukani..nikaona kapimiwa miguu kama ndoo nzima. nikawa najiambia nikiwa nakula miguu si nitahisi nakula mkono wa binadamu.

Daah ila hongera kwao wamepewa roho nzuri ya kuingiza kila kisicho najisi.
Miguu ya kuku natafuna sana aisee nahisi kama katika makuzi yako hivi vitu havikuwa common vinakupa shida
 
Haha,pole sana..me hata nikitoka na mrembo wa kishua hata kama ni wapi,msosi wa kuliwa kwa mkono ntakula kwa mkono tu
 
Mi hata niwe na nanii nakula kwa mikono tu na nijiwa na njaa nasema na njaa ,kama sikijui kitu nauliza au naomba nionje kwanza
Safi kabisa. Na Kama hujashiba unasema uongezwe ili Mambo yawe sawa. Ili hata Kama Kuna kitakachojiri Basi uwe umeshiba na uweze ku perform vilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…