Unaepuka vipi kuwa "Chikunde" ukiwa unadate na mtu mambo safi?

Ni heri nikala mboga za majani na maharage siku 7 za wiki kuliko kula utumbo wa kuku. Ili mtu aambiwe kala nyama au?
 
Mkuu dagaa mchele Na hombo au mchicha wa Nazi ni vitamu asikwambie MTU. Mimi ikifika ijumaa natafuta zile dagaa ili jumamosi nijilie ugali Kwa raha. Jumamosi kula Nyama sijui samaki nakulaga basi tuu ila roho yangu iko Kwa dagaa mchele

Dagaa mchele ninini?
 
Ni heri nikala mboga za majani na maharage siku 7 za wiki kuliko kula utumbo wa kuku. Ili mtu aambiwe kala nyama au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka uswazi huko mbona sana tu!!mnoo kuna watu wamaishi kwa kuuza utumbo na miguu ya kuku ujue...vinauzwa balaa
 
Sipendi miguu ya kuku,kichwa,shingo,mgongo
Migui sitakagi hata kuiona nikiagiza kuku wanaitupa kabisa na kichwa sitaki viona
Utumbo na kichwa sili vingine hapo twendeee!![emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo ndo napokupendagaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…