Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Harufu ya kinywa kwa kiasi kikubwa hutoka mdomoni na kwa kiasi kidogo tumboni. Kwa uzoefu wangu kila nikilala bila kupiga mswaki asubuhi nitaamke mdomo unatema ila nikipiga mswaki huwa safi. Ingine vyakula vya viungo vingi pia huleta harufu mbaya, kati ya mlo just safisha na maji tu kawaida
 
Kunywa maji asubuhi kabla ya kula chochote. Fanya usafi wa kinywa na ulimi (wengi husugua meno tu na kusahau kusafisha ulimi).
Kunywa maji mara kwa mara. Epuka vilevi! Harufu hutaisikia kwenye kinywa chako!
 
Uislam raha sana, tunatawadha kwa uchache kutwa mara tano, kwa maana hiyo tunaosha kinywa kutwa mara tano na "highly recommended" kwenye Uislam kutumia mswaki wa mti kabla ya kutawadha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…