Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Dawa ni rahisi mkuu , osha ulimi vizuri ,hakikisha kila wakati pua lako ndani lipo safi , piga mouth wash sunza tema thrice a day , hakikisha Tenga mara mbili kwa wiki osha mdomo na chumvi asili ....
Above all kunywa maji often kwa siku
Shida haipiti mwezi
 
Tafuna karafuu au iweke mdomoni afu una itafuna mdogomdogo ,yani unakata kijipande kidogo unakitafuna afu unatulia kwa muda kama unahisi tena harufu unakimega kidogo unatafuna

Nijia za usafi fatisha za juu hapo
 
Tafuna karafuu au iweke mdomoni afu una itafuna mdogomdogo ,yani unakata kijipande kidogo unakitafuna afu unatulia kwa muda kama unahisi tena harufu unakimega kidogo unatafuna

Nijia za usafi fatisha za juu hapo
Karafuu huwa natumia nikiwa napigana denda na "she" sabab hua inakata ile smell ya mate mnapolambana ndimi mixer lips Mwanzo mwsho
 
Vuta bangi ,maana hio ni dawa na ni sumu ya harufu ya kinywa,harufu inakufa kabisa.
 
Alfu usiombe ukakutana nae then ukawa unapenda deep kiss πŸ˜‚
 
Denda zitawaponza[emoji855] watu wameoza meno balaa[emoji849]
Huez kwepa denda to yeye ciz inapofika kweny koras hata hujui ulikulaje denda ukishashusha wazungu ndo unajiuliza hivi nimekula denda
 
Maji ya limao/ndimu kunywa wakati wa kwenya kulala ama ukiamka asubuhi
Swaka baada ya mlo hasa wa usiku
Asubuhi tumia dawa ya meno pamoja na sabuni ya kuogea (paraza mswaki kwenye sabuni kisha dawa ya meno ije juu au dawa kwanza kisha sabuni

Kumbuka kunuka mdomo chanzo kikubwa sio meno bali ulimi.. Ulimi na kona za nyuma za fisi ndio huhifadhi bacteria wengi na mabaki ya chakula hivyo hakikisha kwenye kuswaka hayo maeneo unayapa kipaumbele kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Does there any solution or medical care to carry out this problem.....

Mawazo yenu yanahitajika.
SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE

Mada itabadilika soon kutokana na hiyo clossing statement yako
 
hapoo kwenye sabuni mkuu siafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…