HatarNahis ni yule dem wa tattoo? Kama ndiye inaoshe huyo dem anakuelewa sana na siku ukimuacha na yeye akaamua kuondoka utakuja gundua umrpoteza kitu cha thamani sana ukiwa umeisha chelewa
Nina kikwazo sabab ananipa mawazo ya how am i goin to live..continue being with her wakat najua kabisa nimemchoka ila namuonea huruma tuu.na siwez kumuoa..that kills me inside..Mwanzo mwa mahusiano kila mtu huwa huyo hot ila kadri mda unavyozid kwenda ndio utagundua ukwel wa mtu.
Unaposema ukiachana nae uendi popo unataka kufocus kwenye mambi yako unamaanisha nini? Kwan yeye ni kikwazo kinachokuzuia kusifocus kwenye mambo yako?
Ni kwel mkuu..nahis nibora kumwambia mtu..am here to hangoutSababu za kumuacha ni zipi?
Unaingiaje kwenye mahusiano kila siku ukiwa una mtu. Inaonesha unatamaa ya kila mwanamke, basi yafaa usitumie udhaifu wa mwanamke kupenda kuwapata. Ni vyema uweke waziβmimi sitaki mahusiano nataka hang outs, kunyanduana na weweβ
Ndo hivyo mapenzi yanaumiza alafu unavyosema unamuacha kwa sababu ya unene unakosea mno what if ukaoa mwanamke slim chuchu saa sita akaja akajifungua mtoto wa kwanza maziwa yakalala tumbo likatoka njee michilizi kibao nae utamuacha???ww bado kijana mdogo mahusiano yanahitaji uvumilivu mkubwa mna kama umepata mwanamke anakupenda kwa dhati anakuheshimu anakusikiliza muoe kuwa nae tu atuoi kwa sababu ya uzuri wa umbo au sura ya mwanamke tunaoa tabiaNimependa hii...nahis niwe nae tu na niwe na mwingne...unajua ndomana wenzetu muslim wanaruhusu wake wa4..hata mim naafiki hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tengeneza tukio akufumanie red handedUna mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa
Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na unakuta wew ndo umeshamchoka kabisaa yaan...binti analia muda wote...
Inafikia hatua unamuonea huruma ile ya kwel lakin ndo hvo ushamchoka. Unamfanyaje mtu huyu....maana anadirik kusema bas uumpe hata mtoto halaf umwache..angalau apate zawad ya mtoto huyo. Aisee sasaa kwel nmeaamin kuna watu wanafunga ndoa kwa huruma tuu.
N.b
Ndugu yangu hapa anaomba ushauri
Najua mapema sanaa..hili wingu leo mapema sana natoroka
Ipo siku utakuja humu kuomba ushauri wa jins ya kumrudisha kwenye imaya yako. Mahusiano ni zaod ya hvyo unavyo fikriaNina kikwazo sabab ananipa mawazo ya how am i goin to live..continue being with her wakat najua kabisa nimemchoka ila namuonea huruma tuu.na siwez kumuoa..that kills me inside..
Sent using Jamii Forums mobile app
umechafukwa hadi umeandika vice versa ahahhahahahaThose comes around goes around...
Unamwambia ajirekebishe maeneo yanayokufanya umchokeUna mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa
Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na unakuta wew ndo umeshamchoka kabisaa yaan...binti analia muda wote...
Inafikia hatua unamuonea huruma ile ya kwel lakin ndo hvo ushamchoka. Unamfanyaje mtu huyu....maana anadirik kusema bas uumpe hata mtoto halaf umwache..angalau apate zawad ya mtoto huyo. Aisee sasaa kwel nmeaamin kuna watu wanafunga ndoa kwa huruma tuu.
N.b
Ndugu yangu hapa anaomba ushauri
Najua mapema sanaa..hili wingu leo mapema sana natoroka
Una utoto mwingi sana kama sababu zenyewe ndiyo hizi,kama ni swala la kuwa fat kwa nini usimwangalie kwanza Mama yako Mzazi alivyo kwa sasa? Unadhani huo ubonge alionao sasa hivi alikuwa nao wakati anakutana na Baba yako? Mwache Binti wa watu ataumia lakini with time ataheal na wewe usubirie Karma yako.1.Sabab za msingi ni kwamba kwanza she became fat..sipend fat pipo
I meet new pipo ambao ni hotter zaid yake
(Am being honest)
And vingne siwez sema hapa
2.hilo la kuwa na mwingne nisimchoke nadhan haliwezekan
3.sikuamua..tuliclick tu..sjawai mtamkia wala kuweka commitment yoyote nayeye
Tuna 3-4 yrs..well..alikua kama dem wa mpito tu..sikutegemea ntakaa nae muda mref..it was afta a break up na mtu wangu wa mda mref
4.nilijua ntakuja mwacha
5.nikiachana nae siend kokote nataka nifocus na mambo mengne..well na plan kutafta mwingne...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataikumbuka Sana.Siku zote Oa Mwanamke anayekupenda. Siye unayempenda. FULL STOP [emoji1630]. Utakumbuka Hii Statement
Hahahahaha kanikera sanaumechafukwa hadi umeandika vice versa ahahhahahaha