Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Hizo ni genye zinakusumbua tu. Aisee huku kitaa kupata true love ni ngumu sana unaweza kujuta maisha yako yote.

Ushauri kama dada anakupenda, anakujeshimu mkuu tulia na uyo mrembo otherwise utakuja juta mbeleni. Wanasema bahati hairudii mara 2
 
Usimuache......ukimuacha huko utapoenda utachokwa utakonda vile vile......kaza moyo muoe zaa nae mtoto ni kiunganishi kikubwa sana....Alf unakua unachepuka pia kidg Ila tu asijue...basi maisha yatasonga!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sad story ni pale unaamua kuishi nae huyo Dada halafu baadae anakuja kukusaliti.....

Mkuu kama humpendi kweli muache tu,,,maana yake utakuja kumtesa sana huko mbele ya safari...

Swala la Karma lipo pale pale,,, na halina taarifa huja ghafla tu..
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanawake wanaotoka na mtu anayetumia hii ID, wako na kazi kubwa mno.
Huyu ni mtu
- Ana kiburi
-Ana majivuno
-Anapenda attention
-Anajiamini hana Kasoro

Basi tu alimraaadi yani.
Pole zao sana .
 
Aisee,ndo maana mnarogwa!
 
Yaani umemchoka mtu sababu ya umbo lake?je utaweza kuishi na mke kwenye hali ya ugonjwa na uzima wewe? Yeye mbona anasema mnara wako ulikua unasoma 4G now umedrop 3G ila bado anakupenda hivo hivo?

Bila kuzidi kumpotezea muda wake , mwambie ukweli, afu tafuta huyo mwembamba uone balaa lake na utakavomkumbuka dada wa watu.

Ndiyo yule mwenye tatoos sehemu mbalimbali?🤔

"When a woman loves,she loves for real" by R.Kelly😬
 
Wanawake wanaotoka na mtu anayetumia hii ID, wako na kazi kubwa mno.
Huyu ni mtu
- Ana kiburi
-Ana majivuno
-Anapenda attention
-Anajiamini hana Kasoro

Basi tu alimraaadi yani.
Pole zao sana .
Na utoto mwingi pia,angalia tu anavyojieleza ndiyo utajua huyu ni mvulana na si mwanaume.
 
Mpange siku mkapime afya afu cheza mchezo na muhudumu ionekane una ngoma...huo ndo utakua mwisho wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…