Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Nb yako haiendani na posts nyingine

It is you
 
Wewe ndiye unayempenda huyo mwanamke.
 
N kweli kama mtu huna mapenz naye n her umuache, kuliko kupotezea mtu muda na kuendelea kucheza na hisia zake.



[emoji17] [emoji17]Lkn wanaume lah! Mungu awasaidie hapo utakuta ushakaa nae kwny mahusiano kama mke na mume kwa miaka hata 5 leo umemchoka, inaskitsha mnoo ndyo mana mnarogwa na wngne mnauliwa aki hamjali hisia za wengne [emoji17].
 
Muache
Ila chozi lake UTALIPIA
 

Utamuacha ila utakuja kujuta. Hutawahi kumpata atakayekupenda kama huyo. Badala yake utawapata wakudanga na wachawi wakutupwa.

Utajuta. Labda kama una sababu maalumu ya kumuacha ila ukimuacha tu kwa sababu za kijinga, umchezee hisia zake na kumtupa itakula kwako. Iko siku utatamani umpate ila ndo hivyo utakuwa umeshapoteza.
 
Karma is real one day utarudi hapa, hujasema unakwazwa nini kwake, kupanga ni kuchagua na utavuna unachopanda kila la kheri
 
Mapenzi hayana kuchoka. Ukweli ni kwamba tayari una mahusiano mengine ndio maana umemchoka. Unapokwenda utakutana na tukio ambalo umelifanya huku unapotoka
 
Kama ni mwanamke we muache tu..vyovyote unavyojisikia...siku akikuchoka wewe utafrahi na show hatoona huruma
 
Wewe jamaa katili sana, kwa mtu uliyempenda kweli unawezaje kumfanyia hayo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sad story ni pale unaamua kuishi nae huyo Dada halafu baadae anakuja kukusaliti.....

Mkuu kama humpendi kweli muache tu,,,maana yake utakuja kumtesa sana huko mbele ya safari...

Swala la Karma lipo pale pale,,, na halina taarifa huja ghafla tu..
Mbona kila mtu anasisitiza sana kuhusu karma, mnatutisha wengine tunaotaka kuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…