Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

Anahatarisha uhai wa familia huyo siyo mtu poa kabisa,inabidi uanze kuwa msiri Sasa na baadhi ya vitu,ila nafikiri ww hujaamua kukaa naye chini vizuri labda unamwambia juu juu tu...

kuhusu kumuweka busy inategemea na umbea wa huyo mwanamke ila Kama ni jinsi ulivyoelezea hapo Basi sijui ubize gani huo unamfaa Mana huko atafunzwa na walimwengu na kukuharibia Hadi na ww...kuwa Kama mwanaume.
 

swali

Wewe ulimsikia akiongea huo umbea una uhakika kama anaongea yeye??

Aliekwambia ni huyo mama au kuna wengine??

Kuwa makini sikuhizi mijimama inapenda kupelekewa moto huenda anakuvizia huyo mama kwaiyo anawachonganisha

Huyo mama nae hana kazi ya kufanya sasa anakwambia hivo ili nini umuache mkeo ama[emoji849][emoji849]
 
Pole, mambo ya ndoa yanahitaji hekima sana. Pa kuanzia, ulichagua Wasimamizi sahihi wa ndoa, anzia hapo tafadhali.
 
Hiyo point kabisa, wanawake wote wanapenda attention, na wanapenda kuongea mambo yao ya siri na watu wao wa karibu, sasa kama mume yuko karibu na mke basi ujue mume atapata taarifa zote maana mke hatapeleka nje ila atamsimulia mumewe.

Tujitahidi kuwapa muda wa kuwasikiliza, hakuna mwanamke ambaye hapendi kusiikilizwa hivyo tuwape muda tu wa kuwasikiliza hata kama anongea pumba wewe msikilize tuu ni dawa kwao
 

Hili swali ulipaswa kuuliza mkiwa wachumba, kwa sababu uliamua kwa hisia kumuoa kupitia kichwa cha chini, Sasa usijaribu kutumia akili kutatua, tumia kichwa hicho hicho cha chini.
 
Mpeleke ukraine, utanishukru badae
 
Mkuu pole halafu we usikia maneno kwa mtu mmoja tu chunguza mkanye mkeo
 
Hapo kwenye mdomo na mimi ndio nilikua nawaza hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana Mkuu, Naona umeoa Mwandishi wa hbr, yeye anaripotisha kila kitu.
 
Nimeongea nae sana !! shida ye anapenda kujikweza nakujikuta anaongea kila kitu kwa kila mtu
Au ametoka kwenye familia masikini sana,ambayo haijawai miliki hata kijiko,Sasa kaja kwako haamini alichokuta, ndiyo maana kawa kama Limbukeni sasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…