Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

Mtafutie kazi ya kufanya mkeo,inaonekana ni Mama wa nyumbani tu.
Kwani wa Mama wa Nyumbani ndiyo wako hivyo!? Huyo ni tabia yake,hata angekuwa anafanya kazi za kuajiriwa bado angeyachukuwa Maneno ya Nyumbani na kuyapeleka huko kazini kwake! Kuna Wanawake wengi tu huko ma officeni kutwa nzima nao wanahadithia Maisha ya familia yake na vitu wanavyomiliki,hadi Mtu unamjuwa Mumewe ni Mtu wa aina gani kupitia umbea wake!! Ni Wanawake wengi wenye tabia hii ya kupenda ku breg!!
 
Pole sana mkuu!
Nimejikuta naimba - "Huyo ni Chaguo lako"
 
Tena huyo Mama Kama ana busara angewaita wote wawili, Mtu na Mkewe ndiyo aambie,labda kweli angebadilika, lakini Cha ajabu mleta taarifa na anataka ID yake ifichwe, Sasa Kama nae anasema uwongo tutajuwaje!? Mi ukinipa habari za Mke wangu na mwambia,akikanusha lazima mleta habari nikwite au nifanye uchunguzi wangu mwingine kutoka vyanzo vyangu vya umbea!!
 
Hii ni kweli,mi naijuwa office yote ya Mke wangu,kwa Ubuyu wake tu!!
 
Tuanzie kwanza hapa,mkeo ni mshabiki wa timu gani...?
 
Mwanamke ni Mwanamke,hakuna Cha type, sisi Wanaume huwa tunawaweka wote kwenye kapu moja, sema wengine mkisomeshwa na Waume zenu huwa mnaelewa na kujirekebisha!!
Haya
 
Hii ni kweli,mi naijuwa office yote ya Mke wangu,kwa Ubuyu wake tu!!
Iko hivyo mkuu, ukimfanya mwanamke rafiki inasaidia sana taarifa utapata tu bila kuomba, utasimuliwa za majirani, utasimuliwa za kanisani/msikitini utasimuliwa za kazini, Mimi huko Instagram sipo lakini nikikaa tu na waifu napata taarifa zote
 
Mtafutue Kazi ya kufanya na Kama kwako haujajenga ukuta pambana ujenge ukuta , itapunguza mazoea kwa kiasi fulani na majirani
 
Hapo sasa inabidi uwe unamdanganya. Usimwambie ukweli... Mwambie una mpango wa kwenda kupigana Ukraine, halafu isikilizie kwa majirani zako.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watakwenda kumshtaki Russian embassy halafu aje kupata msala
 
Au waifu mwenyewe anaweza kubanwa sana na umbea, akaupeleka mwenyewe Ubalozini kwa miguu... Waifu wa aina hiyo ni noma sana...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watakwenda kumshtaki Russian embassy halafu aje kupata msala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…