hatarii mimi kuna jamaa yangu kapewa nyumba pia analipwa kwa mwenz 25k kwa kukaa kulinda hiyo nyumba na kaambiwa aoe humo humo ili tu nyumba iwe na ulinzi na huyo mwamba ananyumba karibia mikoa yote, sasa umeona wanavyobarikiwa hawa watuMzee wangu kweli ni mtu muungwana sana na Huwa hategemei kodii za nyumba zake..anajua maisha na Kuna wengi TU Wana kaa kwenye nyumba zake bureeeee
Hata hapa dar Kuna watu Wana nyumba zao na hawana watu wa kukaa hivyo ukibahatika unakaa bureeeee kabisa kwenye mjengo wa maana..
Ila Kuna watu wanategemea Kodi kuishii ogopa sana hao watu ukipanga kwake utajutaa
Mwezi wa mwisho wa kodi wa kodi yake ile tarehe 1, unamtumia ujumbe. "Oya mtu wangu kodi inaisha mwezi huu, usiniletee mambo ya longolongo".Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Kwahio saivi mifuko imetobokaziliishia bar na watoto wazuri si unajua dunian tumekuja kula bata
Sasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****Mzee wangu kweli ni mtu muungwana sana na Huwa hategemei kodii za nyumba zake..anajua maisha na Kuna wengi TU Wana kaa kwenye nyumba zake bureeeee
Hata hapa dar Kuna watu Wana nyumba zao na hawana watu wa kukaa hivyo ukibahatika unakaa bureeeee kabisa kwenye mjengo wa maana..
Ila Kuna watu wanategemea Kodi kuishii ogopa sana hao watu ukipanga kwake utajutaa
Jamaa yako ameajiriwa kama mlinzi na nyumba haikujengwa kwa ajili ya kupangisha.hatarii mimi kuna jamaa yangu kapewa nyumba pia analipwa kwa mwenz 25k kwa kukaa kulinda hiyo nyumba na kaambiwa aoe humo humo ili tu nyumba iwe na ulinzi na huyo mwamba ananyumba karibia mikoa yote, sasa umeona wanavyobarikiwa hawa watu
sisi ni wale ambao tunakopa afu tunaweka bond nyumba hela tunaenda pigia maji na kesho ikiuzwa tuna maliziwa kahela kaliko bakia kwa mkopeshaji tunamwachia nyumba tunaenda kupanga miez 6 baadae tunajenga nyingine huwa mifuko haitobokag kwakwel ili inapumzishwaKwahio saivi mifuko imetoboka
ngombe ya maskin haizai na ikizaa inazaa dume unategemea nyumba ikupe hela na utake ufanikiwe hiyo akili matope ndio mana mnalia lia na maisha jenga nyumba weka geust,fugia kukua, au mpangishe mtu mmoja kwa mkataba maalumu hizo ndizo biashara za nyumba ila ukisema wapangaji 2+ hiyo ni huduma kwamb kesho wakikwambia sina unakuwa mvumilivu ktgm kd n laanSasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****
sahihi mkuu ila naongelea wale ambao haelewi amejenga kwaajili ya kipi yaan kwenye biashara hayupo yupo kwenye huduma ila anai force iwe biasharaJamaa yako ameajiriwa kama mlinzi na nyumba haikujengwa kwa ajili ya kupangisha.
Nyumba za kupangisha ni biashara kama biashara zingine tu.
NHC wanapangisha na wanalipwa kwa wakati,kuichelewesha kidogo kodi wanakukopesha unakutana na riba juu.
Tatizo tunapangisha hata ambao hawaja fikia hadhi ya upangaji
Ona naye huyu!Kazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu
Kuna wapangaji majeuri anaweza kukaa hivyo hivyo kibishi..!!Njia nyepesi ni kuweka mfumo wa kuwazimia umeme hata wakiwa nao kwenye luku zao.
Mtu ambaye anakusumbua. Unaanza kumpiga kikwazo cha kumzimia umeme kwake.
Kama upo Dar nenda katembelee nyumba za Tajiri Kishimba. Zipo buza kwa mama kibonge.
Utajifunza wenzako wanafanyaje
Huyo akua na njaaNiliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodi[emoji2297][emoji2297] inabidi ujiongeze mwenyewe ulipie.
Yaani nikijisahau nae anasahau. Siku namlipa hata hajui ni ya muda gani[emoji1787]
Kwakweli hakuwa na njaa kabisa. Na ikitokea matengenezo yoyote anasema ni juu yake imagine!Huyo akua na njaa
Wenye njaa tarehe ipo kichwani, kama mnaishi jirani ikifika tarehe anakukodolea like jicho la nilipe kodi yangu tarehe imefika
Ukiwa hurumia sana wanabadilisha hadi tarehe ya ulipaji ya mkataba.Jitahidi kuwaelewa maisha magumu.
Mimi ndo wananionea mpangaji akishaanza kujieleza matatizo yake basi namwambia ukipata utaleta..!!
😹😹😹 Aiseee mi siwezi..Ukiwa hurumia sana wanabadilisha hadi tarehe ya ulipaji ya mkataba.
Unatakiwa uwe na huruma ya ukali,ukimwambia kesho nataka kodi yangu hata akituma sms kuomba msamaha usijibu,ukiona siku mbili tatu kimya ujue ametingwa kweli,baada ya wiki unamrudia tena kwa ukali ule ule