KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ndio maana huwa inaniwia vigumu kuhukumu story za upande mmoja......kila mmoja ana play victim..........Bibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.View attachment 1826134View attachment 1826135
Yani mulemule! Huyu mwenzio nae nikiwepo huwa haendi club ila juzi nimetoka kidogo yeesu alioa club mate wakitoka club wanakuja kuishi nyumbani yani akawa kama mke wake hadi watu wakadhani kuwa tumeachana nakuja kila mtu ananishangaa, amenikosea sana kwakweliWeee unafanana na mke wangu,ila anajifanya hana hisia na mimi ,nikilala nje makelele,juzi nimelala club kawapigia simu wana ukoo wangu wote kuwaambia,ila yote Yeye ndo alianza dharau na kujiona mwamba kisa tuna ndoa na watoto,now tunaishi kibabe tu siku ziende
Mna kawaida ya kuongea?Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Ndio nimeongea nae kuonesha jinsi gani nimeumia! Mwanzo nilikaa kimya mpaka mwenyewe aliponiuliza kuwa "mbona sikuhizi umebadilika sana seems like hunipendi tena " ndio nikamkumbusha mambo yake maovu ambayo yalikuwa moyoni mwanguMna kawaida ya kuongea?
liongelee
kwanini limetokea,how u feel,how he feels,way forward nk
Anakucheat unamsamehe alafu unaendelea kuwa mwaminifu?Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Kweli sina amani ya moyo kabisaHahaha sitaki utani na amani ya nafsi yangu
kujipooza tena khah! Nimeshea nipate ushauri mbalimbali tu mkuuAvoid sharing this in public live with integrity and be religious. Ila kama una nadhiri ya kujipooza kila la heri
Ndio mamy ndiomana hata amani ya ndoa sina kabisa,, mpaka kuna muda nawazaga aargh si namimi niwapee tu wanaonipenda ila nafsi inanisuta kabisa naamua kutulizanaAnakucheat unamsamehe alafu unaendelea kuwa mwaminifu?
Ndio maana umepoteza hisia, hapo ningekuwa mimi ningelipiza, tena kwa fujo. Anadhani yeye ndio ana haki ya kubadilisha ladha tu?
Kuna muda nawaza ivo tu ila moyo unaniuma naacha!Dawa ya moto ni moto.Nadhani umenielewa
unakasirika unanipa basi ndoto yangu inatimiaMe mwenyewe huwa nawaza ikitokea kanicheat mpaka nikajua na pengine ushahidi niko nao sijui itakuwaje asee.... ngoja tuu ninyamaze [emoji850]
Bibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.View attachment 1826134View attachment 1826135
Hakuna anaekupenda zaidi ya huyo mmeo ndo maana kafunga ndoa na wewe na kupata watoto ,ukijifanya kugawa nje eti kwa wanaokupenda utagongwa mpaka K itaota sugu,hao unaohisi wanakupenda nao wana watu wao wanaowapenda so utaishia kugongwa tu,mpende mmeo na angalia unakosea wapi hadi akufanyie anavyofanyaNdio mamy ndiomana hata amani ya ndoa sina kabisa,, mpaka kuna muda nawazaga aargh si namimi niwapee tu wanaonipenda ila nafsi inanisuta kabisa naamua kutulizana
Kabisa Yani saivi tunaishi ilimradi tu, hata katika tendo ni kutamani mtu amalize tu atoke kunichosha mie sisisimki hataKuna muda unazoea maudhi yake anatoka moyoni aende, arudi, acheat, asicheat, atajua mwenyewe....ndoa inabaki mnaishi ilimradi tu mnaishi nyumba moja maana ile chuki anayokuwekea moyoni haitoki.......
Kuna muda nawaza ivo tu ila moyo unaniuma naacha!
Hakuna mwanaume asiyecheat.....trust me, hiyo inaongeza hamu kwa mkeo, hatupendi na hatuna hisia kwa michepuko. It just for fun.Zamani sio sasa! Siwezi tena huu utumwa nishamfanyia sana na akatoka nje! Nimeshakua sugu aisee Wanaume mnaridhikaga basi!! Tabu tupu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Weee nawe kidhungu kingi, mtu kashakwambia mume wangu tena unauliza, kwani unafikiri anaishi Luxembourg.... kule kunako same sex marriage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MC wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, nature yetu mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja..
Nimewasaidia wakulungwa kujibu
Daa halafu wewe ulikula nini kwa mfano![emoji23][emoji23][emoji23]We sema ka umefumaniwa tu aina haja ya ku beat around!