Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
- Thread starter
-
- #121
Jesus unamjua nini?? nikweli anatoka na muuza baa aisee! dada akitoka kazini wanahamia club hadi asubuhi wanakuja nyumbani, nilikua nimetoka kikazina wewe cheat, maisha mafupi sana, wewe unakaza kwa vijana huko maofisini yeye anakula ma baa medi, jino kwa jino.
Bro kumbe wee ni ME duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku zote nilijua mchuchumio[emoji23][emoji23][emoji23] Mi nadhani necha ni ya mwanamke labda kama hamsomi maandiko, nyoka si alianza na Eva lakini au [emoji16]
Brother unaniita mi mchuchumio?? Kidume mzima na six packs zangu niwe mchuchumio? Jiangalie aseee...Bro kumbe wee ni ME duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku zote nilijua mchuchumio
Hii ni very destructive hebu tafakari unless isikuhusu wewe iwe ya mtu mwingine.kujipooza tena khah! Nimeshea nipate ushauri mbalimbali tu mkuu
Mtoto wetu anasoma wapi mkuu ?We ishi usitumie nguvu. Yaani mi naishi tu
Ndo wanawake zetu tufanyaje sasa ni kutumia akili tu kuishi nao.Sasa analalamika nini? Na mpaka anajinadi huku ana mchepuko na wanapendana! Kweli usihukumu upande mmoja kamwe!
Inspector Harun a.k.a babuTatizo letu tunababaika sana na muonekano na wanawake wasasa ni mitihani yaani figa figale inye plus gedwe gwede ukimcheki nyoro inakuita,mtoto bambadi uso soft usio chunusi natural color chotara hakika HATUTOBOI akikatiza.
Teh baadae tena mnapiga kitu cha U-turn wanawake ni wasaliti, wana tabia mbaya 😁find new lover-no way out..
Akimuacha huyo ndio atapata malaika? Haya maisha kuna muda inabidi ujifunze tu namna ya KUDANCE ACCORDING TO THE TUNE.lkn huu sio ushauri mzuri..
kama anavumilia baki na ampende kama ameshindwa bas amuache haondoke lkn sio kwa kubaki na kutojali..
Mwanaume ambae hachit itabidi umuumbe wa kwako,tumeumbwa kutamaniKwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sana
KimeumanaBibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.View attachment 1826134View attachment 1826135
Yote ni effect ya kuchepuka kwake, ila nikitaka kuhalalisha kuchepuka nafsi inanisuta naupotezea huo mchepuko natulia tu, kuna muda nikitaka kuchepuka naona kabisa mume wangu kawazidi vitu vingi sana hivo sioni sababu ya kuhangaika nje ya ndoaNdo wanawake zetu tufanyaje sasa ni kutumia akili tu kuishi nao.
Na hii ndo akili jamaa aliamua kuitumia yaani achepuke yeye isimuue mwanaume,
amechepuka mwanaume ndo eti inamuuma mwanamke.!!
Daaah ushahidi wa macho?kaeni chini muyamalize hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja hata fukara siku akishika pesa anaopoa goma jipyaAcha ujuaji wewe, ukifumaniwa wewe uliefumaniwa ndio hisia zinaisha kwa mwenzio eboo! My man cheated on me hii mara ya pili nimekuta evidensi kabisa.
Mwanaume ambae hachit itabidi umuumbe wa kwako,tumeumbwa kutamani
Hakuna msamaha ni kufukuza tu,mwanaume anatamani sio kupendaMbona wake zenu wakiwacheat wakiomba msamaha na kusema ni utoto tuu au shetani aliwapitia kuwasamehe inakuwa ngumu..!?eti,
Nature yako ni kuzaa kwa uchungu[emoji16][emoji16]Alaaah,. nature eee,
Kwahiyo mimi na wewe ndio hatuna nature??.woiii
Best kunywa bucket ya desperado,bili nitumie nilipeNecha ni ya mwanaume
Hii hawezi kuijibia sanasana hatoonekana tena hapa. Yeye kat0mbesh@ huko kwa x wake weeeee anaona raha tu, mumewe kachoka kaamua kulipiza matokeo yake mke anajifanya kuumizwa.Bibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.View attachment 1826134View attachment 1826135