Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

yani nilikuwa nasikiaga tu kuwa wanawake akili zao ndogo nilikuwa nabisha...
.
nimebahatika kusom baadhi ya shauri(coment) kwenye huu uzi kutoka kwa wanawake wenzie aisee ni madudu..
.
wengine wanasema aache kumjali waishi tu kwa kuwa wana watt, wengne wanasema naye alipize kisasi kwa kifupi wenge wamemshauri aendeleze shali...
.
kwako mleta uzi:- kitu kimoja cha kujiuliza ikitokea leo mkaachana na mmeo nani atafaidika na nani atapata hasara??
.
jua kuwa leo hii ukimuacha mmeo anakuachia watt na anauwezo wa kuoa tena mwanamke mzur mdogo mkali kuliko hata ww na akaanzisha familia kwa upya na akakusau dk 0 tu..
lakin kwako ww ni ngumu, vijana wenyewe wakuoa hata humu unawaona kila siku kuwasema vibaya single mom, mwisho wa siku utatumika uko nje ili ukidhi haja zak na za watt..
.
so tumia akili usitumie hisia
 
Yote ni effect ya kuchepuka kwake, ila nikitaka kuhalalisha kuchepuka nafsi inanisuta naupotezea huo mchepuko natulia tu, kuna muda nikitaka kuchepuka naona kabisa mume wangu kawazidi vitu vingi sana hivo sioni sababu ya kuhangaika nje ya ndoa
Nimekuelewa
 
Habari wana JF!

Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mume wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
Kwanza kabisa amua kuishi. Tekeleza wajibu wako kama mke bila kuangalia yeye anafanya nini? Ufundishe moyo kupuuza mambo mengine ukibeba sana utakufa. Yanaishaga tu hayo hata huyo anayecheat naye atamuacha tu
 
Hujui kitu mkuu acha kujaji usivovijua, nimekwambia huwa nafeel guilty naacha tu natulia ndoani!
 
kabla sijaoa nilikuwa nawachukia wazee waliokuwa wanawasaliti wake zao kwenda nyumba ndogo ila toka nimeoa nimeona hawana kosa kbs,, makosa yaanzia kwa wake zao, unarudi home kelele, unaomba unyumba unasubirishwa mara leo nimechoka, kesho tena umechoka, unaomba unyumba asubuhi unaambiwa subiri usiku, ukifika usiku leo nimechoka unajikuta umekata wiki mbili kwa nn nisiende nyumba ya jirani? mama jitafakari vyema angalia mapungufu yako. muda mwingine unapewa kama umesusiwa tu hakuna ushirikiano. ukienda kwenye kazi ya nje hadi unafurahi unasikia hadi sauti nzuri masikioni mtoto analalamika kwa maneno mazuri ukija home speaker mbovu haitoi mlio kimya kimya
 
Kwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sana
Inaumiza sana mwenza anapokucheat wakati ww ukijiangalia hucheat hata aisee inauma iyo hapa ndo watu wanapo pelekea kiaribiana maisha sasa aisee kicheatiwa inauma sana nikishauri tuu.

Kwa kuwa amerudia makosa yale yale na ww bado unampenda chamsingi mlie buyu yani mkaushie mazima kuwa jeuri kuwa kiburi ulie pitiliza mfanyie na ww vituko vya kufa mtu usimfulie nguo usimpikie yani ww deal na watoto wako kama mnao mana huyo mume wako kashakuona ww mdhaifu.

Rudi nyumbani muda utakao ww yani onesha dharau izo mfanyie jeuri ya kufa mtu nakwambia baada ya muda utamuona akakaa sawa mwenyewe na hato cheat tena na akikaa sawa ndo rudisha sasa ule upendo wa zamani....muishi pamoja mulee watoto mfanye maisha uzuri wetu sisi wanaume tukicheat baada ya Muda tunarudi kwa wake zetu na kuwa watu wapya kabisa.....
 
Hujui kitu mkuu acha kujaji usivovijua, nimekwambia huwa nafeel guilty naacha tu natulia ndoani!
Mimi ni binadamu sio Mungu hivyo sijaji kwakuwa kazi ya kuhukumu kwa haki pasi na upendeleo ni ya Mungu pekee.

Kadiri muda unavosonga maumivu yatapoa na utapata tu suluhisho kwani kibinadamu huwezi kuishi bila kutiana kwa miaka ya maisha hapa duniani
 
Na kuna wakati unakaa unajiuliza maswali hupati jibu, hivi inakuwaje mwanamke hacheat lakini kila ukiomba kutiana nae anakupa sababu ili tu usimfanye?
 
Heheheh ukipenda utakaa hata miaka 9,,,sehemu mnazokimbiaga huwa hamjapenda kikweli kweli
 
Acha watoto wakue na wazazi basi
 
Duuh.. hizi ndoa sijui zimekumbwa na nini. Juzi kuna mdada alikua ananisimulia kesi yake ni kama hii hii yeye kashamchoka mumewe na ndoa ina mwaka mmoja tu! Nikasema hiiiiiii
Alifikiri ndoa ni lelemama
 
Yeye pia ana cheat huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ soma uzi wote utajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…