Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe.
Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika katika mauwaji yale (kwa mujibu wa Barua ya Mkurugenzi wa Mashtaka iliyotolewa 30/09/2020. Nitaiattach hapa).
Gari la George Sanga (Picha nitaiweka) lenye usajili namba T 457 DAB lilikutwa na vitu vya Marehemu. Baadae ilithibitika kwamba, gari hilo la George Sanga lilitumika kumtelka Marehemu Emmanuel Sanga. Kama haitoshi, nyumbani kwa George Sanga kulikutwa nguo zenye damu.
Long story short, kuna ushahidi wa kumuweka GEORGE SANGA hatiani, na Polisi kuna maelezo ya yeye kukiri kosa.
Now, Chadema wanapiga kelele kwamba George Sanga aachiwe huru, kwa kutumia umbrella ya MARIDHIANO; Are you guys serious?
Huo ni unafiki mbaya sana kwa sababu;
1. Emmanuele Polycarp Mlelwa aliuwawa KIKATILI. Alipigwa sana, kisha akanyongw ana mwili wake ukatupwa. Mama yake amelia na anaendelea kulia. Hawa watu wa CHADEMA hawataki kabisa kuongelea hicho kifo, hawataki kuongelea haki ipatikane, eti kisa Emmanuel alikuwa kiongozi wa Jumuiya ya vijana wa CCM shuleni kwao. Kama kweli wao ni wapenda haki, mbona hawaongelei justice ya uyu aliyeuwawa? Do they think about his mother?
2. Mbona wanamuongelea Sanga peke yake? Sanga alikamatwa akiwa na Thadei Mwanyika, Optanus Nkwera na Goodluck Mfuse. Mbona hizi kampeni zao za Twitter ni kumuongelea Sanga tu?
Ushauri kwa Sertikali ya Rais Samia Suluhu ni kwamba WAHALIFU wasijifiche kwenye umbrella ya maridhiano. Hawa CHADEMA wanachukulia hiyo kama immunity ya wao kufanya uhalifu then they come with hashtags on Twitter.
George Snga ana kesi ya mauwaji, Mahakama iamue kama his is guilty or innocent.
EMMANUEL MLELWA ALIUWAWA his family needs justice, haki yake ipatikane.