MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
CHADEMA ni laana ya taifa. Majanga haya yote yanayotokea nchini ni kutokana na uwepo wao. Zile enzi za Yona ingebidi watupwe baharini kuepusha chombo kuzama. Hawa walishawahi kujilipua na bomu mkutanoni Soweto Arusha ili kupata kiki za kisiasa kwahiyo ni rahisi sana kwao kunyofoa roho ya mtu.. Kama wamehusika na mauaji sheria ichukue mkondo wake. Kama ni maridhiano inajulikana ni kwa mambo ya kisiasa tu na sio hayo makosa ya jinai.