Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe.

Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika katika mauwaji yale (kwa mujibu wa Barua ya Mkurugenzi wa Mashtaka iliyotolewa 30/09/2020. Nitaiattach hapa).

Gari la George Sanga (Picha nitaiweka) lenye usajili namba T 457 DAB lilikutwa na vitu vya Marehemu. Baadae ilithibitika kwamba, gari hilo la George Sanga lilitumika kumtelka Marehemu Emmanuel Sanga. Kama haitoshi, nyumbani kwa George Sanga kulikutwa nguo zenye damu.

Long story short, kuna ushahidi wa kumuweka GEORGE SANGA hatiani, na Polisi kuna maelezo ya yeye kukiri kosa.

Now, Chadema wanapiga kelele kwamba George Sanga aachiwe huru, kwa kutumia umbrella ya MARIDHIANO; Are you guys serious?

Huo ni unafiki mbaya sana kwa sababu;

1. Emmanuele Polycarp Mlelwa aliuwawa KIKATILI. Alipigwa sana, kisha akanyongw ana mwili wake ukatupwa. Mama yake amelia na anaendelea kulia. Hawa watu wa CHADEMA hawataki kabisa kuongelea hicho kifo, hawataki kuongelea haki ipatikane, eti kisa Emmanuel alikuwa kiongozi wa Jumuiya ya vijana wa CCM shuleni kwao. Kama kweli wao ni wapenda haki, mbona hawaongelei justice ya uyu aliyeuwawa? Do they think about his mother?

2. Mbona wanamuongelea Sanga peke yake? Sanga alikamatwa akiwa na Thadei Mwanyika, Optanus Nkwera na Goodluck Mfuse. Mbona hizi kampeni zao za Twitter ni kumuongelea Sanga tu?

Ushauri kwa Sertikali ya Rais Samia Suluhu ni kwamba WAHALIFU wasijifiche kwenye umbrella ya maridhiano. Hawa CHADEMA wanachukulia hiyo kama immunity ya wao kufanya uhalifu then they come with hashtags on Twitter.
George Snga ana kesi ya mauwaji, Mahakama iamue kama his is guilty or innocent.

EMMANUEL MLELWA ALIUWAWA his family needs justice, haki yake ipatikane.

View attachment 2580014
View attachment 2580015
View attachment 2580025
View attachment 2580026
View attachment 2580027
Acha ujinga mleta mada,kwani wakati wa kesi bambikizi una umri gani,au ni miongoni mwa wale wamsamaha wa maovu awm5😂
 
Ndugu mwandishi....
Na Sabaya Je??

FB_IMG_1680794830957.jpg


#YNWA
 
Kwa kitendo chako kiovu cha kumuunga mkono Sabaya , Natangaza kukudharau rasmi katika kipindi chako chote kidogo sana ulichobakiwa nacho hapa dunia , Amina
Dua la kuku....!!!(kwa sentensi yako ya mwisho)
Genge la kutengeneza fedha bandia lilivurugwa na nani?
===
Nawajua, hii ndiyo njia yenu Rahisi ya kuonyesha mmeishiwa hoja. Hata hivyo, sihitaji heshima yako nahitaji utii wako kwa waafrika na viongozi wao na kuheshimu raia wote wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Ni hilo tu basi.

Kama "ubongo wako haujafuliwa" utakuwa umenielewa.

Nakutakia Pasaka njema, na mfungo mwema wa Ramadhan. Yaani Ramadhan Kareem.
 
Wee jamaa huu uongo wako hautakusaidia chochote , mnafiki mkubwa na katili mkubwa wee ! hivi huu upuuzi wa barua sijui ya kukiri makosa iliyoletwa na DPP unadhani ina uhalali wowote ?

Unaanzaje kumwamini Biswalo Mganga wewe kapuku mtozeni ? tukiweka ushahidi hapa kwamba hakuna alipokiri George Sanga kuhusika na hiyo barua uko tayari kulipa fidia .

Mnaposingizia wenzenu mambo mazito tambueni kwamba mtalipwa kwa ubaya wenu , yuko wapi Jiwe leo aliyetukana na kutesa kila mtanzania ?
Alitesa mama yako au?
 
Usituletee visa vilivyopangiwa na serikali ya yule dhalimu. Hujui hata mbunge Mwanyika alifanyiwa kitu mbaya akiwa rais wa GGM? Jiwe alikuwa nuksi.
.
Kwahiyo hiyo chuki yako dhidi ya chadema mpelekee babako na mamako. Hapa tunashighulika na masuala muhimu tu.

Kwa akili yako Kuna mtu anaua na kuhifadhi damu na nguo za marehemu kwenye gari??
Mwambie huyo! Wakati wataalamu wanafikiri jinsi gani tutaifanya tarehe 17 March kuwa siku ya kitaifa kumshukuru Mungu kutuondolea laana na ubatili katika taifa yeye ana tukumbusha machungu!
 
Back
Top Bottom