Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

N hiyo

Na hiyo gari kwa nini ilikua na vitu vya marehemu?
Na vingine vikutwe kwa huyo sanga?
Ulikuwepo? Hivi kweli uende kuua mtu na nguo za Chadema si utakua traceable mapema sana!! Kuna propaganda hazina faida. Ilikua wakati wa kampeni nzito so jamaa walitafuta namna ya kudhoofisha wagombea wa Chadema. Sio huyo tu zaidi ya Wana Chadema 400 wameshafutiwa mashtaka yakiwemo ya murder case maana zilikua za kisiasa tu. Imagine wengine kama 600 Bado wapo magerezani alafu mtu utaamini kweli chama kimoja kiwe na wahalifu elfu 1000 watende kosa ndani ya mwezi mmoja??

Aisee JPM amekufa kwa visasi vya watu wengi sana
 
Tunduma zaidi viongozi wa chadema 100 walikamatwa na kurundikwa selo kwa muda mrefu kwa kosa la uongo la kumuua mwanaccm mmoja tu ! wote wameachiwa
 
Wanasemage ni kesi ya kiasiasa .
Mkuu huyo jamaa nani alikuwa anamjua Tanzania hii?? Waachwe kuzushiwa hizo kesi wanaosumbua serikali kama Malisa na Martin Masese aje azushiwe yeye ambaye alikuwa hafahamiki na hana impact yeyote
 
Aliyeua na aliyeuawa wote wana haki[emoji1241]
 
nyie mashoga ya ccm ni wapumbavu sana ndio maana mamayenu aliwaletea tetezi lenu ikulu ili muendeleze ushoga wenu maana akili hamna.
 
Chadema ni chama Cha kijinga sana kigenge Cha familia ya mzee mtei na mbowe ndio amekasimiwa wajibu wa kimqjukumu ndiomana chadema siku zote itakuwa chini ya uongozi wa wachaga
ccm ni genge la mashoga ndio maana mamayenu akaona awaletee mtetez wa mashoga kutoka marekani pale ikulu, kwa taarifa yenu 2025 mashoga yote mtajibeba.
 
CCM wajinga wengi sana mpaka inakera hebu tuzungumzie lipoti ya CAG yaweza kua na mashiko kuliko haya inaonekana yamekuzidi umuli
ccm ni wapumbavu hawawezi kujadir wiz wa mabillion kutokana na report ua CAG yamekalia chadema ndio maana mamayao akayaletea tetez la mashoga ikulu.
 
Sabaya yeye alikuwa mkuu wa polisi wilaya au usalama wa taifa au?
Acheni sifa za kingese humu.
Alikuwa Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Wilaya ya Hai wakati fulani.

Ni wakati huo aliwezesha kuharibu mfumo huo wa uhujumu Uchumi kwa kutengeneza fedha bandia na kuziingiza kwenye mfumo wa uuzaji na manunuzi nchini!!! Leta maswali mengine.
 
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ni cheo cha Kisiasa na useless kwenye issue za upelelezi wa mambo.
Acheni kumpa sifa asizokuwa nazo au mmeanza tena uchawa wenu?
 
Mbona barua inaonesha ni ya kufoji, andika nyingine ukumbuke kugonga mihuri husika na jina na sahihi ya mwandishi.
 
Alikuwa Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Wilaya ya Hai wakati fulani.

Ni wakati huo aliwezesha kuharibu mfumo huo wa uhujumu Uchumi kwa kutengeneza fedha bandia na kuziingiza kwenye mfumo wa uuzaji na manunuzi nchini!!! Leta maswali mengine.
Kwa kitendo chako kiovu cha kumuunga mkono Sabaya , Natangaza kukudharau rasmi katika kipindi chako chote kidogo sana ulichobakiwa nacho hapa dunia , Amina
 
Watakuja hapa na kusema DPP alikuwa Biswalo Mganga
 
CCM wajinga wengi sana mpaka inakera hebu tuzungumzie lipoti ya CAG yaweza kua na mashiko kuliko haya inaonekana yamekuzidi umuli
Toeni #freesanga twitter kwa sababu it is purely obstruction of justice
 
#freesanga is equal to the obstruction of justice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…