Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nimewaza:
Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri?
Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria.
Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza taifa kuwawajibisha kisheria wale waliohusika na mauaji ya Oktoba 29 pamoja na kupata katiba mpya. Na baada ya upatikanaji wa katiba ukaitishwa uchaguzi huru na wa haki, utakaoongozwa na kulindwa na katiba hii mpya?
PS:
Nimeongelea uwaziri kamili na siyo uwaziri kivuli, na kama itatokea basi waziri apewe nafasi ya kupendekeza katibu mkuu wa wizara na siyo kupangiwa yule wa kuteuliwa na raisi.

- Je hili linawezekana? na je litakua jambo la busara kuliko kuharakisha kwenye maridhiano?
- Na je, litasaidia kuisogeza nchi mbele kutoka hapa tulipofikia?