Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #81
Uko kwenye kundi moja na Harmful ni vita tu, kama mbwai na iwe mbwai.Vijana hatutaki kusikia chochote kwa sasa 😅
Tunataka kuzichapa tu bora kufa kuliko unyonge 😅😅
Hata hiyo katiba mpya hatuitaki sisi tunataka tuwe kama Somalia vile au Sudani Kusini tunawaonea wivu sana yale maisha wanaenjoy sana wale jamaa
Ila sasa sisi wamama tutafanyaje jamani, wengine mbio hatuna na nguvu hatuna vile vile 😂 😂 .
Asante, japo JF ni uwanja wangu wa kupumzikia na kujitoa ufahamu.Binti wa zamani uko smart sana hongera at least unaweza kufanya upembuzi wa mambo inaonesha akili yako iko huru kwenye kuchanganua mambo haujashikiwa na wale maactivist uchwara
Ila kwa tulipofikia, imebidi niurudishe ufahamu kwa muda 😅 ila ni temporary tu msije kunizoea hivi.